Walichokifanya Urusi kwa Marekani ndio walichotaka kufanya Chadema katika uchaguzi wa 2015

Mahakama iliona hamna kesi na kwamba mawakiki wa serikali wanaisumbua tu mahakama!Ikaamuru waachwe huru
Kwahiyo unamaanisha ni mambo ya kukurupuka kwa mawakili wa serikali na kuitia hasara serikali yetu ya kubana matumizi au?
 
Kuna kikundi cha vijana walikamatwa wakidukua data za tume za matokeo yaliyotumwa toka majimboni. walichokuwa wanakifanya chadema ni kuvadilisha data juu kwa juu zilizotumwa toka majimboni lakini kutokana na nchi yetu kuwa na intelligencia ya hali ya juu walifanikiwa kuwakamata hao wahalifu. Na itakumbukwa kwamba baada ya kukamatwa vijana wao viongozi wa chadema mpaka mgombea wao walichoka sana

Laiti kama marekani wangejua tanzania kuna mabingwa wa IT wangekuja kuwakodi ili Urusi wasifanikiwe mpango wao.

Kosa jingine walilolifanya wahaini hao wa chadema ni kuweka mitambo yao ndani ya nchi wakati wenzao Urusi hawakufanya hivyo.

Tusubiri 2020 chadema wanaweza kupeleka vijana Urusi ili waje wadukue matokeo

Bange mbaya sana!
Hakuna nchi hapa duniani inaweza ingilia uchaguzi wa US kwa kuiba kura!Jimbo la Wisconsin wamerudia kuhesabu kura kwa mkono hamna kura ambazo Urus kampa Trump kwa kuiba!Matter of fact Trump alipata kura 163 zaidi
Habari kama Russia alimuibia kura Trump ni za kwa vijiweni tu na hazipaswi letwa hapa
Nakuambia tena IT level ya US haiwezi ibiwa kura na nchi yyt ile duniani
 
Siku hizi humu ndani kila mtu anajua. Hivyo vitu ulivyofananisha hata haviendani. Marekani hawaishutymu Urusi kwa ku-hack mfumo wa uchaguzi . Wanachoishutumu ni kwa ku-hack emails za democrats na kuzivujisha wikileaks kitu ambacho wanadhani kime-influence uchaguzi wao. Usifikiri waliingia kwenye mfumo wakabadilisha idadi za kura. Sasa wewe umeandika kihisia tena hata bila usahihi. Nakushauri usiwe unasoma vichwa vya habari bila kufuatilia kwa undani.
NB: Mimi sio CHADEMA ila sipendi maandiko ya upotoshaji
Think thrice
US hawawezi kwenda direct to the point kwamba wametengenezewa rais bse
Wataibika
Hawatafikia lengo.

Lengo nn
Kupata info za computator or enemy wao
Do they under cover

"Snowden still a CIA and has special task "
 
Bange mbaya sana!
Hakuna nchi hapa duniani inaweza ingilia uchaguzi wa US kwa kuiba kura!Jimbo la Wisconsin wamerudia kuhesabu kura kwa mkono hamna kura ambazo Urus kampa Trump kwa kuiba!Matter of fact Trump alipata kura 163 zaidi
Habari kama Russia alimuibia kura Trump ni za kwa vijiweni tu na hazipaswi letwa hapa
Nakuambia tena IT level ya US haiwezi ibiwa kura na nchi yyt ile duniani
Kwahiyo akina Sen. John McCain ndio wavijiweni? Dig deeper.
 
Bangi zingine sio nzuri, kwanza kesi yao imeishia wapi? Na yule mnigeria aliyeletwa kudukua matokeo kabla hayajaingia ukumbi wa mwalimu nyerere humkumbuki? Na msalimie JPM wezi wa kura keshawafukuza sasa asubiri kuisoma 2020
 
Kwahiyo akina Sen. John McCain ndio wavijiweni? Dig deeper.
Wapi McCain kasema Urus alimsaidia Trump kuiba kura?
Kuna tuhuma za ku hack server ya DEMOCRAT ili kuwa paralyze wana Democrats wasiende kupiga kura kwa kuanika mabaya ya Mama Clinton na kwa hilo wlaifanikiwa hasa ktk majimbo ya PA,Wisconsin na Minessota ambayo ni "Blue" lkn yamegeuka kuwa "mekundu"
Hamna nchi duniani itamsaidia mgombea wa USA ashinde uchaguzi kwa kuingilia mfumo wa kura isipokuwa Governor na Secretary wa Jimbo hilo tu wanaweza tunga sheria kuzuia minority wasipige kura!
Tuache mambo ya vijiweni
 
We mtoa mada ni chenga kichwani kama walikuwa wanadukua mbona mahakama imewaachia huru! Kama ulikuwa hujui walikuwa wanakusanya matokeo kama alivyofanya Nana Ado wa Ghana. Mpaka wanashikwa Lowasa alikuwa anaongoza wakaona tutaumbuka wakawaweka ndani
 
Kuna kikundi cha vijana walikamatwa wakidukua data za tume za matokeo yaliyotumwa toka majimboni. walichokuwa wanakifanya chadema ni kuvadilisha data juu kwa juu zilizotumwa toka majimboni lakini kutokana na nchi yetu kuwa na intelligencia ya hali ya juu walifanikiwa kuwakamata hao wahalifu. Na itakumbukwa kwamba baada ya kukamatwa vijana wao viongozi wa chadema mpaka mgombea wao walichoka sana

Laiti kama marekani wangejua tanzania kuna mabingwa wa IT wangekuja kuwakodi ili Urusi wasifanikiwe mpango wao.

Kosa jingine walilolifanya wahaini hao wa chadema ni kuweka mitambo yao ndani ya nchi wakati wenzao Urusi hawakufanya hivyo.

Tusubiri 2020 chadema wanaweza kupeleka vijana Urusi ili waje wadukue matokeo
Akili za ki.shoga hzo
 
"Mr. MTUI, post: 18961353, member: 126345"]Kweli jamaa waliona mbali....kumbe kuanzisha chama ni ujasiriamali tosha[/QUOTE]
Ulikuwa hujui mkuu au unapretend? Anzisha chama leo hii halafu uwape matumaini ya ajabuajabu mradi wakuelewe halafu piga kampeni nchi nzima vilaza wote, wanywa viroba, wehu, wavivu na waliokosa mwelekeo wakuunge mkono kisha ugawe kadi wajiandikishe uanachama. Usiwape nafasi ya kushika uongozi maana watajisahau na kudhani ni chama chao wakati lengo lako hasa ni maslahi ya familia na ukoo wako. Fanya hivyo uone hiyo ruzuku yake na michango kutoka kwa wadhamini wa nje itakavyomiminika!
 
Mtamaliza tungo zote lakini hamteuliwi ng'o, mtukufu hatoi vyeo kijinga jinga, tafuteni tu kazi nyingine buku7 hailipi tena.
 
Kumbe kazi ya kujua mhalifu siyo ngumu palipo na subira! Tusubiri matokeo ya shauri dhidi ya Wadukuzi waliokamatwa na Wana intelijjensia ambao siyo waficha ushahidi. Nilidhani wanaogilbu wanapaswa kuwa ña uwezo zaidi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom