Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,551
Nimeangalia mkanda wa video wa Boniface Mwangi kutoka Kenya na mwanadada Agather Atuhaire kutoka Uganda.
Wanaharakati hawa walikuwa wakielezea maswaibu mazito waliyoyapitia waliposhikiliwa na maafisa wa serikali ya Tanzania.
Nikiri kwamba sikumaliza kuuangalia — ulikuwa umebeba machungu, kilio, na hisia za unyonge.
Boniface Mwangi, baba mwenye watoto na mume wa mtu, alieleza jinsi alivyoingiliwa sehemu ya haja kubwa na kupigwa kikatili kana kwamba alikuwa mnyama.
Sijui kama kuna ukweli wowote katika madai haya, lakini kama kuna hata chembe ya ukweli — basi huu ni ukatili wa kiwango cha juu kabisa kuwahi kushughudiwa kwenye uso wa dunia.
Soma Pia: Boniface Mwangi afunguka mateso ya kikatili aliyofanyiwa Tanzania, adai ''Tuliambiwa tuvue nguo, tutambae na tuoshe damu''
Ni dhuluma inayozidi hata mateso ya kivita (war cr¡mes) yaliyofanywa na magaidi.
Wakati nikisoma kitabu cha kijeshi, mmoja wa makomando muongoza mafunzo — trainer wa muda mrefu — alisema hivi wakati wa mafunzo ya interrogation and handling of enemy assets:
Moja — kumuua, lakini usimuue kikatili.
Mbili — ukitaka kupata taarifa (extract intel), unaweza kutumia mateso, viboko, psychological pressure… lakini usimdhalilishe.”
Alifundisha kwamba kumdhalilisha adui ni kuvunja misingi ya Law of Armed Confl¡ct na hata Geneva Conventions.
Alisisitiza kuwa:
Hata katika Qur’an tunaamrishwa kuwa:
Hata kama adui ni waovu, hadhi yake kama mwanaadamu haipaswi kudhalilishwa.
Vivyo hivyo, katika Biblia tunasoma:
Magereza makubwa duniani — Guantanamo, Abu Ghraib, au hata gereza la Black Dolphin huko Russia — bado wanaofungwa hawaachwi wadhalilishwe kwa namna ya aibu kama hiyo.
Hata kama mtu amefanya uhalifu wa kinyama, kumdhalilisha kwa njia ya kulawiti ni kuvuka mstari wa utu.
Kwa hivyo, kama kweli haya wanayosema Boniface na Agather yana ukweli, basi hili ni tendo la uovu wa kupindukia — psychological operation ya kuzima utu, kuua morali ya asset, na ni haramu kwa mujibu wa sheria za vita na dini zote.
Ni bora mara mia kumpiga risasi na kumuua kistaarabu kuliko kumlawiti.
Mwanaume yeyote rijali atakueleza — mwanaume atakubali kufa kwa risasi kuliko kudhalilishwa kwa kulawitiwa.
Kwa sababu hii haihusu tu maumivu ya mwili — inahusu kuua roho na utu wa mtu milele.
End.

“Ukishamkamata adui, kuna njia mbili tu.
Moja — kumuua, lakini usimuue kikatili.
Mbili — ukitaka kupata taarifa (extract intel), unaweza kutumia mateso, viboko, psychological pressure… lakini usimdhalilishe.”
Alifundisha kwamba kumdhalilisha adui ni kuvunja misingi ya Law of Armed Confl¡ct na hata Geneva Conventions.
Alisisitiza kuwa:
Hata kama asset ni terr0r¡st au enemy combatant, kazi yako ni ku-pacify and neutralize — sio kuua utu wake.”“Kubaka na kulawiti ni ukatili wa kupindukia, ni kuvunja hadhi ya binadamu.
Hata katika Qur’an tunaamrishwa kuwa:
“Na hakika tumewatukuza wanaadamu…” (Qur’an 17:70)
Hata kama adui ni waovu, hadhi yake kama mwanaadamu haipaswi kudhalilishwa.
Vivyo hivyo, katika Biblia tunasoma:
“Kila mtu amepigwa muhuri wa sura ya Mungu.” (Mwanzo 1:27)