EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,717
Kwani aliyetoa jina la ukoo si ilikua mzazi kampa mtoto au?Hayo ni ya UKOO
MakufuliYaani wewe kama Mzazi unaanzaje kumwita mwanao majina haya:-
- Musiba
- Masumbuko
- Pombe
- Shida
- Mateso
- Mutafungwa
- Kaburiwazi
Basi sawaKwani aliyetoa jina la ukoo si ilikua mzazi kampa mtoto au?
8. Tundu (matokeo yake jamaa anataka watanzania kuwa ******* kama yeye kisa yeye ana tundu la ziada)Yaani wewe kama Mzazi unaanzaje kumwita mwanao majina haya:-
- Musiba
- Masumbuko
- Pombe
- Shida
- Mateso
- Mutafungwa
- Kaburiwazi