Wakwetu03 Senior Member Joined Sep 15, 2010 Posts 197 Reaction score 87 May 10, 2011 #1 Karibia kila mtu aliacha shughuli zake za kupalilia migomba ya matoki na mabhifu ili ashiriki mkutano wa CDM,ona mwenyewe
Karibia kila mtu aliacha shughuli zake za kupalilia migomba ya matoki na mabhifu ili ashiriki mkutano wa CDM,ona mwenyewe
Meritta JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 1,303 Reaction score 295 May 10, 2011 #2 kweli nimeamini watu wanahitaji mabadiliko kiukweli kweli:israel:chek walivyoitikia wito.
Wakwetu03 Senior Member Joined Sep 15, 2010 Posts 197 Reaction score 87 May 10, 2011 Thread starter #3 kuna mzee mwenye kadi ya mwaka 1984 ya chama cha magamba aliikabidhisha CDM na kutwaa ya CDM ma'swagga said: kweli nimeamini watu wanahitaji mabadiliko kiukweli kweli:israel:chek walivyoitikia wito. Click to expand...
kuna mzee mwenye kadi ya mwaka 1984 ya chama cha magamba aliikabidhisha CDM na kutwaa ya CDM ma'swagga said: kweli nimeamini watu wanahitaji mabadiliko kiukweli kweli:israel:chek walivyoitikia wito. Click to expand...
Mvaa Tai JF-Expert Member Joined Aug 11, 2009 Posts 6,157 Reaction score 4,456 May 10, 2011 #4 Nchi hii inahitaji maombi ili iondokane na hiki kinachoendelea nchini kwetu, hivi inawezekana watanzania hawa walimchagua kikwete pamoja na kwamba aliwadanganya "maisha bora kwa kila mtanzania", pole watanzania mnao ongozwa na mtu mliyechaguliwa
Nchi hii inahitaji maombi ili iondokane na hiki kinachoendelea nchini kwetu, hivi inawezekana watanzania hawa walimchagua kikwete pamoja na kwamba aliwadanganya "maisha bora kwa kila mtanzania", pole watanzania mnao ongozwa na mtu mliyechaguliwa
Dumelambegu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 1,052 Reaction score 260 May 10, 2011 #5 Hata chama cha magamba kikiminyaminya, mageuzi ni lazima!