wali wahi kutikisa hapa bongo

Pumzika Mbunge Wangu waonekana umechoka sasa.
 
Ama kwahakika

ulifanya kazi nzuri sana lakini kama ujuavyo
shukrani ya Punda mateke
Kwasasa huthaminiki tena kwa Serikali
iliyopo japo hata kuja kukuomba ushauri.
 
Wagekuwa wanakubali kuwapa semina wewe uliwezaje ungewapa lakini ndo hivyo Sikio la kufa halisiki Dawa.
 
alikuwa waziri wa mambo ya ndani bora kuliko wote duniani! lakin i alipoingia katika vyama vya upinzani hakuniridhisha hata kidogo. bado kwangu mimi namuona ni shujaa mwerevu akeshae hodari mwepesi!
 
Nchi inajengwa na VIJANA !! Je, tupo ? kila era (zama) na maRijali wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…