Wali wa kitunguu

Niliwahi kuona mtu alipika huo wali ukabadilika na kua wa brown alisema wao wanaita pilau, binafsi ulinishinda ila napika wali wa kitunguu, kitunguu hakiivi sana, napenda viwe vinaonekana nikila.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Kaanga kitunguu na moto mdogo sana the results.. utapenda
 
Mimi huwa cachi viungue kabisa huwa vinakua brown flan hvi
 
Niliwahi kuona mtu alipika huo wali ukabadilika na kua wa brown alisema wao wanaita pilau, binafsi ulinishinda ila napika wali wa kitunguu, kitunguu hakiivi sana, napenda viwe vinaonekana nikila.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.

Vikiwa havijaiva sana vina boost immunity to fight Covid-19?
 
Kitunguu kina siri kubwa kwenye pishi lolote.. Hunogesha na kuleta ladha fulani very amazing

Jr
 
walai nimecheka na hili swali lako,

Hiyo ni signature nilikua naitumia zamani sasa nilivyoiacha ndio imekua juu kama vile nimeandika sambamba na comment lakini sivyo.

Hilo nalitambua, nimeamua tu kufanya masihara kufurahisha watu tuongeze siku za kuishi.

Lakini tukiweka utani pembeni kitunguu ni dawa hasa ukikitafuna kibichi. Tatizo harufu mdomoni, tena usiombe utafune kitunguu swaumu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…