Aah babe unaniangushaNiliwahi kuona mtu alipika huo wali ukabadilika na kua wa brown alisema wao wanaita pilau, binafsi ulinishinda ila napika wali wa kitunguu, kitunguu hakiivi sana, napenda viwe vinaonekana nikila.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Ukipika wewe babe nitaupenda.
Nialike siku moja mkuu nije kuonja mapishiNiliwahi kuona mtu alipika huo wali ukabadilika na kua wa brown alisema wao wanaita pilau, binafsi ulinishinda ila napika wali wa kitunguu, kitunguu hakiivi sana, napenda viwe vinaonekana nikila.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Aah hapo sawaUkipika wewe babe nitaupenda.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
After Corona tu niambie nikupe mualiko na uchague vyakula upendavyo.Nialike siku moja mkuu nije kuonja mapishi
Nitakualika nikipika sembeukipika tena pilau naomba unipe mualiko
mwenye mji wake keshasema ugonjwa tumeushinda.After Corona tu niambie nikupe mualiko na uchague vyakula upendavyo.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Huu wali lazima ubadilike rangi?
Nami naona hii ya kwako iko poa.Ukiunguza vitunguu kidogo lazima ubadilike rangi unaelekea kufanya pishi la pilau, mimi huwa napika hivi nikiweka vitunguu kwenye mafuta naweka na mchele hapo hapo,vitunguu havibadiliki rangi hivyo wali una kuwa mweupe vile vile wenye vitunguu vinavyoonekana.
Unapenda ule wali wenye vitunguu visivyoiva sana vinakuwa vyeupe vyeupe na vile vimstari vyao....Huo huwa unanishinda Miss..Tena nikiwa nakula nikakutana nacho cha hivyo mdomoni hadi appetite inachange.Niliwahi kuona mtu alipika huo wali ukabadilika na kua wa brown alisema wao wanaita pilau, binafsi ulinishinda ila napika wali wa kitunguu, kitunguu hakiivi sana, napenda viwe vinaonekana nikila.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Hapo umenifikisha, maini roast yatupiwe na njegere kiasi, unaweza kuweka tui zito kiduchu kutafuta fleva ya nazi na maini yakawa na muonekano bomba wenye ladha taaamu.mwenye mji wake keshasema ugonjwa tumeushinda.
vyakula nipendavyo ni wali wa kitunguu kwa main rost.
Naam huo huo, hahaha kama ukiona tu kitunguu appetite inakata je ukiona hiliki kwenye wali utakula kweli?Unapenda ule wali wenye vitunguu visivyoiva sana vinakuwa vyeupe vyeupe na vile vimstari vyao....Huo huwa unanishinda Miss..Tena nikiwa nakula nikakutana nacho cha hivyo mdomoni hadi appetite inachange.
Hahaha huu sasa uchokozi babe, yaani mwenzio anataka pilau wewe ukampikie Sembe hapo umemuandalia Sembe na mchicha uwiii atajutaa.