Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 427
form za maombi za kujiunga na mtandao wa lowasa zinapatikana wapi ? Nasikia kunalipa kweli !All the best el.
form za maombi za kujiunga na mtandao wa lowasa zinapatikana wapi ? Nasikia kunalipa kweli !
Ndio maana yake ! We huoni watu walivyo bize ! Sitaki kufanya kazi ya bure, maana Lowasa anaijua 'ghaibu' !nikugawie?
Kuna kitu hapa mimi sijakielewa naomba mtoa thread hii unisaidie. Unaposema "walevi wanaomtuhumu......hawakuumizi kichwa" kuna uhusiano gani kati yako na Lowassa?
Yawezekana usielewe swali langu, lkn nachojiuliza ni ktk mazingira yepi mtu uumwe kichwa kwa jambo la kisiasa linalomhusu mtu mwingine! Kwa mfano, sasa hivi mimi niseme kuwa shutuma zinazomkabili fulani zinaninyima usingizi, zininyime usingizi kwa vipi ikiwa mimi si mhusika? Hebu nieleweshe unahusianaje na Lowassa mpk mambo yake yakuumize au yasikuumize kichwa?
Wa kuumize kichwa wewe Kama nani hasa?
Kwanini tugombane kwa uraisi wa 2015 leo hii ,ni kwa sababu nchi haina raisi,au ni kwa sababu tuna uhakika tutakuwapo ?
Hii inanikumbusha habari ya familia moja iliyofikiria kufuga bata,katika mpango wao huo waliishia kutofuga baada ya kushindana nani atasafisha banda
.
Tunakoelekea ndio huko tusipoangalia, kwani inawezekana kuna watu wasipokuwa maraisi nchi itakufa.
Wewe na Lowasa mnaijua 'ghaibu' ! Hivyo tumwachie Mungu tuone kama aliwaachia kazi yake mkaimu !Tunajadili katika hali ya kawaida, lakini kuna watu hawaelewi maana yamajadiliano. Haya ni mambo ya kawaida kuzungumza.
Wewe na Lowasa mnaijua 'ghaibu' ! Hivyo tumwachie Mungu tuone kama aliwaachia kazi yake mkaimu !