Mnanikumbusha ile stori, trafiki mmoja alikuwa kazini huku kalewa, basi akasimamisha gari, akamwambia dereva "naomba leseni yako"yule dereva akampa kioo kidogo cha kujiangalia, yule trafiki akaangalia!
Kisha akamwambia dereva"pumbafu! Si ungeniambia kuwa we ni trafiki mwenzangu, haya nenda.