Wale wote wanaotaka kusoma engineering, Uliza swali lolote utapata majibu!

Acha kudanganya

Municipal and Industrial Services Engineering ni mtoto wa Environmental Engineering

Hamna utofauti mkubwa.


Hawa wanatofautiana kwa kiasi kidogo sana.
 
Acha kudanganya

Municipal and Industrial Services Engineering ni mtoto wa Environmental Engineering

Hamna utofauti mkubwa.


Hawa wanatofautiana kwa kiasi kidogo sana.
Nimependa ID yako ila sijafurahishwa na comment yako hasa mstari kwanza, that is not how engineers suppose to put forth their views! Otherwise wise ushauri wako ni mzuri!!

Karibu!
 
Kwa nyongeza: kuna surveyer anaye mwelekeza mining engineer na geologist njia za kupita na kuna chemical and processing engineer anaye wasiliana na metallugist nini cha kufanya.

Huyo environmental engineer anahusika na mazingira. Yaani wapi pa kutupa uchafu nk.

Kuna pia mhandisi wa maji na wa umeme. Pia wa mawasiliano. Mgodini ni kama jeshini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa ID yako ila sijafurahishwa na comment yako hasa mstari kwanza, this is not how engineers suppose to put forth their views! Otherwise wise ushauri wako ni mzuri!!

Karibu!
Mfano kwa mwaka wa kwanza anachosoma EE ndicho atakachosoma Mise kwa semester ya kwanza.

Semester ya pili watatofautiana kidogo Kozi mbili ,EE atasoma Soil na Introduction of environmental engineering lakini Mise atasoma mambo ya Mining and Mineral Processing pamoja na mambo ya industrial operations.


Kwa mwaka wa pili semester zote mbili watasoma kozi zote sawa mambo ya hydrology,Land Surveying ,Fluid Mechanics na takataka nyingine zote

Kwa mwaka wa tatu na wa nne ndo wanaanza kutofautiana rasmi


Ila mara nyingi kazi anazozifanya EE hata mtu wa Mise anafanya pia kazi anazozifanya mtu wa Mise mtu wa EE pia anaweza kuzifanya.
 
Kwa nini ma- Engineer wengi mnakufa maskini licha ya kusoma vitu kuntu?? Wengi wenu mnaishia kuendeshwa na wafanya biashara kwa ujira wa thumuni na kukuza vichwa mkivaa helmet na mi- overoli yenu michafu.

Ushauri wa bure:

Ukitaka kuwa na pesa achana na mambo ya engineering, labda kama unatafuta misifa isiyo na tija.! Wekeza kwenye ujanja wa elimu ya kusaka mapene acha kupoteza muda.
 
Sio kweli.

Ukiona Engineer maskini huyo sio competent

Ni kawaida sana kwangu kupata milion 50 ,100 kwa project moja.
 
jamn naomba mnisaidie kupata link yakujoin watsup group pre university 2017au mniadd 0738236522
 
Nimemaliza form six PCM mwaka 2017 na nimepata D masomo yote. Ninapenda kosoma kozi yoyote ya uhandisi au masuala ya architecture hapo UDSM au Ardhi University. Je kwa ufaulu huu unanishauri niapply kozi gani kulingana na ushindani uliopo na soko la ajira mara baada ya kumaliza kozi? Natanguliza shukrani zangu kwako
 
habari za siku mkuu,naomba kujuzwa inawezekana mtu kusoma bachelor ya computer engineering kwa cheti cha diploma ya IT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…