Natafuta mtu tuazimane novel wandugu. Napendelea waandishi wafuatao: Sydney Sheldon, Jeffrey Archer, Harold Robbins, Barbara Tylor Bradford, John Grisham, Tom Sharpe, Mario Puzo, Chase,etc. Sababu ni kwamba, kwanza, kuna novel ambazo watu wanaweza kuwa nazo lakini madukani hazipo, pili kuna wakati uchumi unagoma hata kama madukani zipo. Kwa mfano kuna kitabu kimoja cha riwaya nilikisoma zamani sana hata mwandishi nimemsahau, kinaitwa USHINDI WA MAHABA, nimekitafuta sana hakipo.
Mimi sina Grisham's lakini nina Sheldon's na Chase's kibao. Several Archer's na Taylor's na moja moja za waandishi kibao.
Regards,
Okon