Mbona hujanipa namba za huyo dokta alokusaidia, halafu unisaidie spital kubwa private yenye huduma za ENT kwa Daa ni ipiItakuwa poa
Nitakupataje sasa mkuuOk poa cz kuweka no ya mtu hadharani bila ridhaa yake ni kosa
We mwenyewe unaonekana masikio yako hayapo sawa..Sio kweli kuwa ukikosa maskio unakuwa ni km MTU aliechanganyikiwa
Huo ni uongo mtakatifu