Hivi vitu vimenipita kushoto kwa kweli,sina hobby nadhani hata ngozi yangu nayo haitaki makorombwezo,majuzi kati hapa nmepakwa makeup saluni nikahudhurie harusi,asubuhi naamka nna vipele uso mzima,vile vidogo dogoooo,najuuta mana mpaka leo havijatoka.
Wataalam wananiambia nipake malimao,leo ndo siku ya tatu napaka malimao lakini bado sijaona matokeo