Wale wanawake wenzangu walioolewa wanao wanaokataliwa na wanaume wao wasitumie jf tukutane hapa tupeane changamoto

Wanaume sisi acha kabisa..akili zetu tunazijua wenyewe..ni wachache sana tena sana kati yetu ,,ambao wanaweza kuvumilia kuufanya urafiki baina ya Me/ke uendelee kubaki hivyo hivyo as Urafiki wa kawaida
Kuchat sio tatizo inategemea unachat nini mfano wewe unachat nami mda huu babe wako akikuta chat hawezi kuchukia na endapo atachukia basi ana matatizo.
 
Hii sentensi ya kujiamini inaniboaga sana!
Hivi kwa hali ya kawaida mke wangu akute mie nachat na mademu wengine kimahaba then nimwambie there is nothing serious mke wangu, mbona hujiamini? Hivi inakuja kweli hio?

Yani mna flirt around na kutumiana vi emoji vya makopa na kuchekeana full time hapo iwe ameshashuhudia more than once, sidhani kama ukileta swaga za hajiamini zitakuwa na tija kweli?
Mkuu umekuwa too specific, hiyo hata mi sikubaliani nayo. Suala la kutojiamini nazungumzia katika muktadha wa jumla kuwa mwamba hamruhusu bibie kujihusisha na jf mbali na kusoma. ...ukweli tunaujua wote kuwa jf ina mambo mengi sana ya kutujenga mbali na mapenzi.
 
Mkuu umekuwa too specific, hiyo hata mi sikubaliani nayo. Suala la kutojiamini nazungumzia katika muktadha wa jumla kuwa mwamba hamruhusu bibie kujihusisha na jf mbali na kusoma. ...ukweli tunaujua wote kuwa jf ina mambo mengi sana ya kutujenga mbali na mapenzi.
Kwa JF itakuwa ni wivu tu! 🤣🤣🤣
Personally demu wangu hata angekuwa humu nisingehangaika nae kabisa wala kumuwaza maana hawa watu hawaoni. Mbaya ni kwa wale ambao wanaonana wakitaka.
 
Mwaka wangu wa nne huu au zaidi nipo jf, sijawah tongozwa hata piemu sijawah tumiwa. Na ni member mzuri tu wa kusoma nyuzii za mabaharia.
Unatongozwaje na ID fake zimejaa.
 
Inaonekana wakati yupo wewe bize na simu, akiwepo itupe simu kule muangaliane tuuu, akitoka fasta unaweka miguu juuu ya kochi unaperuzi.
Pia tumia ID mpya itasaidia.
 
Wengine ukiwatongoza anajikuta eti anakwambia me mke wa waziri,ili tu umuogope na umuone matawi kumbe anaishi buza huko mbagala ndan ndan
 
Back
Top Bottom