Wale wanawake wenzangu walioolewa wanao wanaokataliwa na wanaume wao wasitumie jf tukutane hapa tupeane changamoto

Nashangaa. Mimi, hubby ndo aloniambia nijiunge jf. Napenda sanakusoma. Akajua huku kunanifaa. Japo hapendi niwe nacomment
 
Sure! Anayekuzuia kuwa jf hajiamini au la sivyo na yeye ni mwaribifu kama waaribifu wengine
Hii sentensi ya kujiamini inaniboaga sana!
Hivi kwa hali ya kawaida mke wangu akute mie nachat na mademu wengine kimahaba then nimwambie there is nothing serious mke wangu, mbona hujiamini? Hivi inakuja kweli hio?

Yani mna flirt around na kutumiana vi emoji vya makopa na kuchekeana full time hapo iwe ameshashuhudia more than once, sidhani kama ukileta swaga za hajiamini zitakuwa na tija kweli?
 
Na hapo ndio tabu inapoanzia. We ukijua ni mke wa mtu unapaswa kuvunga tu. Achana na mambo ya ajabu ya kuchat na wanaume wengine maana utaishia kutongozwa tu.
Kuchat sio tatizo inategemea unachat nini mfano wewe unachat nami mda huu babe wako akikuta chat hawezi kuchukia na endapo atachukia basi ana matatizo.
 
Kuchat sio tatizo inategemea unachat nini mfano wewe unachat nami mda huu babe wako akikuta chat hawezi kuchukia na endapo atachukia basi ana matatizo.
Ni kweli kabisa, ila wanaume wengi wanapenda flirting around! Ukiona ameanzisha chats mtaanza vizuri tu ila mtajikuta mnaelekea deep kadri siku zinavyokwenda, mara ataanza kukuchimba chimba kisha kukusifia sifia mwisho anatengeneza mazingira ya kuombana uchi tu.

Na hapo kama ni mtu amekuzoea kukuchangamsha inakuwa ngumu kumbania. Mwisho uta sneak tu mkakutane
 
Back
Top Bottom