Wale wanawake wenzangu walioolewa wanao wanaokataliwa na wanaume wao wasitumie jf tukutane hapa tupeane changamoto

Jaman ndoa hz zina mambo haya wale wanawake wenzangu, mliolewa na mliopo kwenye mahusiano ambao mnakatazwa msiwe na app ya jf kwenye cm zenu tupeane changamoto.

Mm wa kwangu hatak niwe member wa jf, anasababu zake kibao anajua mwenyewe likiwemo kutingozwa na usumbugu mwingi na bla bla kibao, ila kwasababu yy yupo humu na sio MTU wa kuingia mala kwa mala nikaona isiwe shida japo nauguliwa maan a mkewe napenda umbeaa sometimes kuna story tamu kama za yule jamaa 7800 au huyu alieambukizwa ukimwi batsman nilog_in niingie ila akinikuta nimeingia timbwili lake siliwez nataman hata abadilike anipe nafas namm nijimwae mwae humu lakin hatak anakwambia ww fungua app soma ukimaliza kalale.

Kuna siku kudadek nilijisahau nikaingia nikacoment bwana nikasahau kulog out akadaka simu yangu akasemaa kumbee umejiungaeeh japo sija comment kwa ubaya akasoma wee comment zangu. Akanipa onyo nikikuona tena umecoment humu au unajibizana na mtu humu ntakukata masikio hawa mabaharia wa humu sio. Nikacheka yakaishaaaa

Japo namiss ila ndo hivyo nakua ndugu msomaji na mtazamaji tu mwayaaaa japo Nina miaka 6 jf ila sijawah kukutana na MTU yoyote wa humu wala kuwa na urafik zaid ya salam

Tupeane changamoto wanawake wenzangu ww MTU wako anakubania kitu gani unachokipenda na unataman Sikh moja akuache free uenjoooy
Mpaka hapa ushavunja amri ya bwana.
 
Back
Top Bottom