Wale wanaotaka kazi kupitia jf

Wale wanaotaka kazi kupitia jf

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,083
Reaction score
1,326
Wakuu hili jukwaa ni la ajira na kazi sikatai, lakin kuna hii tabia members kuanzisha thread hovyo hovyo eti nataka kazi sijui nina diploma ya civil, procurement mara degree ya telecom etc ni ujinga tena kwa msomi kama wewe.
Hivi unafikiri kuna watu wangapi wesoma kama wewe na wanatafuta kazi kama wewe unavoitafuta, lakini wewe unakua mbinafusi wa kazi uipate peke yako bila kuipambania na wenzako bila interview thats not fair. Usitake slop jf, huruma ya members humu subiri kazi itangazwe anzisha thread ila watu mwenye uhitaji waombe then mkafanye interview fairly and equally. Sio kila siku nataka kazi jf nani kakwambia kazi zinaombwa kirahisi hivo, unajaza jam tu jf thread za muhimu zinaenda mbali eti wewr unataka kazi ya huruma jf kisa unadegree utafikiri uligraduate mwenyewe tanzania.
Ni heri mwanamke atake huruma ya jf kwa kuwa wanawake wasomi ni wachache hata wakipendelewa ni sawa lakini unakuta dume linatafuta huruma ya jf eti nataka kazi na wengi wanaishiwa kugooo....
Fikiria uliograduate nao lets say degree ya procure unakuta wapo zaidi ya 300 sasa wote waje jf kuanzisha thread za huruma za kazi,.
Change we need.
 
Watu wanaokaa kwa shemeji zao bana, kula, kulala na kukunja nne kwenye sofa wakiangalia tv, lazima wataandika hizi pumba
 
Mkuu hii thread utaifunga au?..............maana imekaa kama personal conflict hivi, kwani mtu akiomba kazi kibinafsi kuna shida gani waombe hata 1000 nadhani hakuna anayelazimishwa kusoma hizo threads unless ni mwajiri anatafuta watu, sasa kama sio mwajiri thread za watu wanaotafuta kazi zinakukera vipi?.... najiuliza uliza sielewi umemaanisha nini
 
I got a job through JF, though i aint working anymore with the guy but am so grateful i got that opportunity and through that job, i have travelled to places i have never imagined,got free mentorship and met the love of my life.
bahati yako ilikuwa njema.
Yaliyonikuta,sina hamu
 
Povu..trauma, stress, diabolic pressure, blood pressure, heart attack, psychology problem
 
Back
Top Bottom