mm nacte na 3.6 GPA lkn wakachomoa, cha ajabu hata kile cha kata eti nao wamechomoa ahahahaaaa hata udom??? wakati msela angu hapa ana 2.9 GPA eti nae kaenda tena edc
mm nacte na 3.6 GPA lkn wakachomoa, cha ajabu hata kile cha kata eti nao wamechomoa ahahahaaaa hata udom??? wakati msela angu hapa ana 2.9 GPA eti nae kaenda tena edc
Ndugu nilikuwa the same na wewe ila saiv tatizo limeisha.jaribu kuangalia kama sehemu ya NTA/equivalent kama gpa yako inasoma. inawezekana kuna matokeo yako yana miss either chuo au nacte wenyewe hawajaingiza kwenye system yao. so wakirun system ya eligibility inakuta we haupo eligible kwa kozi yeyote na waki run selection hauchaguliwi automatically. ni muhimu sana kuhakiki matokeo yako kama unahisi una vigezo vyote na hujachaguliwa hadi sasa