Wale wanaohitaji kufanya transfer ya vyuo

Wale wanaohitaji kufanya transfer ya vyuo

abubaro95

Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
70
Reaction score
5
Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online.
 
Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online.

Mkuu Vp Kuhusu Sisi Wa Second Round Utaratibu Upoje?...Naomb Utujuze
 
Cjaelewa hata kidogo jinsi ya kufanya transfer
 
Wangekuwa waungwana kama wangeonesha nafasi zilizopo kabla hujalipia,kwa jinsi ilivyo ukishalipa unaweza kukuta unachotaka hakipo na hela umeliwa.
 
Wale wote wanaohitaji kufanya transfer ya chuo fungua account yako ya TCU ,tayari utaratibu ushatolewa na unafanyika online.
Mkuu hivi kwa candidates aliyeomba kupitia NACTE naye pia anaweza kufanya transfer?? Maana NACTE sijaona hiyo option msaada tafadhali
 
Mkuu hivi kwa candidates aliyeomba kupitia NACTE naye pia anaweza kufanya transfer?? Maana NACTE sijaona hiyo option msaada tafadhali

Daah hilo sijajua mkuu, ngoja tusubiri wajuzi
 
jamani vip kwa sis tulioambiwa selected ila upande wa chuo mpak uweit for aproval vip inamaana unaweza temwa ata kama tcu wamekuselect??
 
jamani vip kwa sis tulioambiwa selected ila upande wa chuo mpak uweit for aproval vip inamaana unaweza temwa ata kama tcu wamekuselect??

Mbona wameshaaproval fungua now kwa account yako uone
 
Mbona IPO mkuu, cheki upande wa kushoto wa profile lako

mkuu mimi ni wa 2nd round na adi saivi siioni iyo option labda ni kwa wale ambao admission ishakua confirmed na chuo husika au inakuaje apo.........

naomba mwenye uelewa atujuze juu ya hili tafadhali..........
 
Option ya apply for transfers inaonekana kwa watu wa first round tu...ila msijali wata-update kwa wote.Na transfer window haiwezi funguliwa hadi wa 3rd round nao wapate vyuo.
 
Back
Top Bottom