Wale walopata mkopo batch ya 2.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,019
1,760
Kwan kuna kuandka malalamiko tena?kwel mambo yamebadilika!
 
Davidgwakisa

Member
Aug 29, 2011
8
0
nasikia wengi waliopata batch ya 2 waliwasilisha barua za malalamiko mapema pamoja na viambatanisho.Nataka kujua walifanyaje?
 
General mex

Senior Member
May 1, 2011
158
184
Wakuu mi nimepata batch ya pili ingawa sijawahi kuwasilisha kitu hata kimoja kule bodi. Kwa wale wa UDSM nadhani cha muhimu ni kupeleka malalamiko kwa Daruso wako serious kweli kwenye kutetea maslahi ya mtanzania. Na pia naomba niwajulishe ambao bado hawajapata mkopo, msikate tamaa bado mapambano yanaendelea na Daruso wamesema bila kupata mikopo wanafunzi wote! Patachimbika, sio waliopata wala waliokosa wote ni kitu kimoja, tutadai haki za wanafunzi wote Tanzania.
 
daruso ndo mtetezi wa wanafunzi wanyonge hapa tanzania,mcfe moyo madogo,mtapata 2.
 
Fugwe

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,676
650
Zimetolewa wiki 2 kuanzia tarehe 12/10/2011 kwa wale wanaoendelea na masomo ambao hawakujaza forms wafanye hivyo na kwa wale wanaotaka kujiunga upya na vyuo ambao walikosea kujaza ama forms au kushindwa kuambatanisha nyaraka hitajika wafike Bodi ya mikopo kurekebisha kasoro hizo
 
Davidgwakisa

Member
Aug 29, 2011
8
0
Akhsante mkuu kwa taarifa hizo muhimu.
Niwasihi wana Jf tupende kujuzana pindi taarifa za muhimu zikitoka kama hizi za HESLB.
 
Georeez

Member
Sep 9, 2011
20
1
Wakubwa mi nilikuwa naomba kuuliza kwa mfano kuna jamaa alikosea akajaza kuwa wazaz wote wapo na pia alikosea kujaza kazi ya mzazi aliyepo kama mnavyojua zile form vitu vingi vilikuwa ukijaza huwez kubadilisha!naomben msaada kujua kama itawezekana kuwa considered kwenye hayo marekebisho!!
 
Yusuphsabury

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
305
108
Sio kweli kwamba zile form za mkopo ukiishajaza huwezi kubadilisha,kulikuwa na option kurekebisha sehemu ulizo jaza kimakosa ilimradi usichelewe kufanya hivyo kabla ya tarehe ya mwisho ya kutuma maombi hayo
 
Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
962
242
Sio kweli kwamba zile form za mkopo ukiishajaza huwezi kubadilisha,kulikuwa na option kurekebisha sehemu ulizo jaza kimakosa ilimradi usichelewe kufanya hivyo kabla ya tarehe ya mwisho ya kutuma maombi hayo

kuna baadhi ya info ulikuwa huwez kuedit ukisha submit ikiwemo,kaz ya mzaz na swala la kifo. Mi mwenyewe hilo tatzo lilinikuta.
 
Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,094
595
kuna baadhi ya info ulikuwa huwez kuedit ukisha submit ikiwemo,kaz ya mzaz na swala la kifo. Mi mwenyewe hilo tatzo lilinikuta.

yap! Hii ni kweli,kuna subforms ambazo ukishajaza hauwezi ku-edit. Kwani huyo aliyekosea jina lake wameliweka wapi? Kama wamemwambia akarekebishe pia siaende! Vp kuhusu budget exhaustion?
 
MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Zimetolewa wiki 2 kuanzia tarehe 12/10/2011 kwa wale wanaoendelea na masomo ambao hawakujaza forms wafanye hivyo na kwa wale wanaotaka kujiunga upya na vyuo ambao walikosea kujaza ama forms au kushindwa kuambatanisha nyaraka hitajika wafike Bodi ya mikopo kurekebisha kasoro hizo
[h=2]UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI KATIKA MWAKA WA MASOMO 2011/2012[/h]Bodi ya Mikopo, kwa mwaka wa masomo 2011/2012, imekwishapanga kutoa mikopo kwa wanafunzi 24,628 kati ya wanafunzi 37,924wa mwaka wa kwanza waliodahiliwa katika duru ya kwanza (First selection).Hivyo, Bodi inapenda kuwataarifu wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza na Umma kwa ujumla kuwa bajeti ya ukopeshaji kwa mwaka wa masomo 2011/2012 imekatikia kwa idadi ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kutoka kwenye kundi la "First selection" ambamo pia takriban wanafunzi 13,296 hawakuweza kupata mikopo. Hivyo, hakuna tena fedha za ukopeshaji kwa wanafunzi wengine.[h=2]3.0 HITIMISHO[/h]Waombaji hao wa mikopo na Umma kwa ujumla wanataarifiwa kuwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu katika duru ya pili au watakaochaguliwa katika duru nyingine zitakazofuatia kuwa hakuna mikopo itakayotolewa kwao kutokana na fedha za ukopeshaji kuishia kwa wale wa duru ya kwanza. Aidha, wakati wa udahili wao, wanafunzi hao wa duru ya pili na duru zilizofuatia, walielezwa bayana na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kwamba hawatahusika na mikopo na hivyo udahili wao ni kwa njia ya kujigharamia wenyewe.Hivyo, wanafunzi husika wanashauriwa kuzingatia maelekezo hayo ya TCU na kuacha kuizonga Bodi kwa kufuatilia mikopo ambayo haitaweza kupatikana kwa mwaka huu wa fedha kutokana na bajeti ya ukopeshaji kuisha.
IMETOLEWA NA:
[h=2]MKURUGENZI MTENDAJI[/h][h=2]BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU[/h]Wadau naomba mnieleweshe hapo kwenye red,sasa haya majina ya waliokosea kujaza forms wanaotakiwa kurekebisha,ni wale waliokosa mkopo kwenye sababu za kama budget exhaustion ama ni wale waliokwishapata tayari?Kama ni waliokosa mkopo mwanzoni kwanini kutusumbua tena kujaza wakati wameshasema fedha ya mkopo imekwisha kwa mwaka huu wa fedha?!
 
Jerhy

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
3,125
972
Hizo barua za malalamiko mliziandikaje na vielelezo vipi mliambatanisha heslb?

Kwa waliochaguliwa kujiunga na masomo ya Elimu ya Juu Via TCU,wamepewa fursa tena ya kuchagua chuo kingine (ikiwa hujardhika na chuo ulichopangwa) katika course ulizo omba kama ilivyo katika profile yako hivo ikiwa umepangwa Udom basi waweza badilisha ukasoma IFM endapo tu hiyo course ipo ktk chuo unachopenda kuhamia, mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16/9/2013
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom