Wale waliomba awareness creation officer


Kuna watu wanakera na kuudhi,wanaibiwa wao najikuta naumia mimi kwa uzembe wao.

Nimefungua hiyo link ya form na cha ajabu imefunguka vizuri hadi sehemu ya malipo wakati mimi sijaapply chochote katika hiyo kazi na hiyo link walitumiwa waliopata hizo kazi. Cha ajabu zaidi sehem ya malipo nimeona M Pesa,tigo Pesa na Airtel Money sijaona bank account pia ukiangalia jina la website yenye hiyo form kwenye address bar havina uhusiano kabisa na kampuni yao au hiyo project yao. Inaonekana ni online forms ambazo anyone can create,nashangaa hapa watu wanaepeana namba za simu kwenye public sijui hata ni za nini. Mimi naumia kozi matapeli wanaongezeka na kuna watu bado wanazidi kurespond kirahisi bila hata kuomba ushauri.
NJAA ZITATUUA.
kuna mende hapo juu amejibu eti kwani 30,000 kitu gani,nimeuliza unajua wametuma wangapi kama wewe? Na je wewe mwenyewe utatuma kama hizo ngapi hadi upate kazi?

Cc King'ast
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna mfanyakazi wa vodacom atuangalizie hii namba usajili wake wa M pesa 0766 712 666

Hiyo ndo namba yao wanataka watumiwe 30,000 for training
 

Kwa kweli mkuu hizi njaa zitatuua, nasikitika sana wanatumia kina Zoom kupost haya Matangazo
 
Last edited by a moderator:
dah!!! hii ndo faida ya jamiiforummemwenyewe nilitumiwa hiyo sms lakini kilichokuwa kinanitatizani hiyo 30000,kuitoa halafu kingine kwa nini watoe majibu kuwa maombi umekubaliwa kablaya deadline ambayo ni mwezi wa kumi na mbili lakini wao wanakujibu leo kabla ya mda na zaidi wanataka 30000, anuani na namba za simu si za nchi hii website yao nayo ni ya kimagumashi sidhani kama inahusiana na volunteering work. halafu kwa nini wasiweke option ya kulipa 30000,baada ya kuwasilikwenye mafunzo ilinwatu wengi wawaamini, cozhiyo link yakujisajili haikubalikusubmit mpaka ulipie 30000, yao. au wewe uliyelipahiyo hela utatujuza feedbackutazokuwaunapewa,ilakw angu mimi naona usharambwa tayali,huo ndo wizi wakimtandao. hao jamaahawanatofauti na walewakwenye zoometi tuma kiasi kadhaa nishaongea na human rsource.............ha ha ha dah, hi ndo bongo dar es salaam!!!
ila tuzidi kujulishana kwa lolote litalotokea!!
 
Last edited by a moderator:
duh wat akili ndogo kwel elfu30 unamtumiamtu usiyemjua . hiv hamjiuliz maswl kabla ya kufanya jambo. Poleni kwa akili ndogo hta kuwaza kdg hampat
 
sasa hawa watu si wameweka hadi physical address yao? watu si mfanye kwanza utafiti kujua uwepo wao kabla ya kuchukua hatua zingine? Na kwa ujinga zaidi wamegoma ile namba isipigwe
 
Mm pia nmetumiwa email hyo nmejaribu bahat, lkn wanaonekana sio matapeli coz m nmetuma jana na nmetumiwa msg na email leo kuwa nijiandae na training na other important things ntatumiwa mwez dec na kujulishwa utaratibu mzima wa training..
Hapo ndipo utakapolia kilio cha kusaga meno.
 
huo ni UTAPELI MKUBWA hakuna training yakulipia, tunaomba feedback wewe ulielipia ili ije kuwa fundisho kwa wengne, training kuna mawili either bure au upewe posho kidogo ila hakuna training yakulipia.
Unageneralise sana mambo ndugu bila hata kufanya research hebu usiwakatishe watu tamaa, mimi pia niliomba lakini hawajanitumia hiyo email wala msg, sijui kama tapeli anaweza kusortlist watu wa kutapeli, watu kama nyie hamtaacha kulalamika hata fursa ikija hadi midomoni mwenu, mtu aliyefanikiwa sana ni yule anaeona kila kitu ni fursa kwake, hata kama kuna traces za utapeli ataona pia hiyo ni fursa kubwa kwake. Ukiwa mwoga wa kuthubutu na kuchukulia kila kitu negative side huwezi piga hata hatua moja ya mafanikio.
 
Sio kazi ndugu ni Volunteering, can't you make a research on your own? You judge too early!
 
Kwan tatzo kubwa hapo nin? Ni pesa ngap mtu umespend kwa vitu vya ajabu ndo uje uonee ubahiri 30000,nyie tumeni tu, wakitapeli basi na kama ni issue seriouz basi mambo yatakuwa shwari.
Ni kweli ndugu tatizo watu wanfanaya hukumu ya jumla kwa hisia zao tu, hata hawafany utafiti!
 

vitu vingine akil tu inatumika kama ni utapeli ni fursa itumie utatuletea majibu. sababu wewe unaona ndio umefanya research tunaomba majibu ukifanikiwa. asante.
 
We ni mwoga tu wa kuthubutu, huna lolote!
 
sasa hawa watu si wameweka hadi physical address yao? watu si mfanye kwanza utafiti kujua uwepo wao kabla ya kuchukua hatua zingine? Na kwa ujinga zaidi wamegoma ile namba isipigwe

Hata mi nashauri wafanye utafiti kwaza
 
Fomu yenyewe ndio hii na taarifa zinzoihusu hii organisation, waweza soma mwenyewe alafu uamue juu ya uhalisia wenyewe na Hisia za utapeli ulizonazo juu ya NGO hii.
 
mie mwenyewe nimetumiwa hiyo email ndo najiuliza ni ya kweli hayo?
 
Jamani hawa ni kiboko lakini tapeli ni tapeli tu duh,,,,,eti mpesa,tigo pesa tangia lini?hata mimi hiyo fomu yao nimeshtuka hiyo ela na jinsi yakulipa mtu ulipe bila hata yakumjua mtu unaempa hiyo pesa nyooooo,,,,,,,hakitoki kitu hapa.yaani nimegoogle hiyo website yao haifunguki haipo kiufupi wasiojua kupepeleza kwakweli wameliwa.namimi ningekua nalia tu sasaivi loh
 
Hahahahaaaaa, Taaaaaaaaanzaniaa Tanzaniaaaaaaaaaaaaa, Nakupenda kwa moyo woteeeeee.
 

i got the same email mkuu sasa sielewi na utapeli au
 
Fomu yenyewe ndio hii na taarifa zinzoihusu hii organisation, waweza soma mwenyewe alafu uamue juu ya uhalisia wenyewe na Hisia za utapeli ulizonazo juu ya NGO hii.

Mbona unatumia nguvu kubwa kutetea?unahusika nini na wewe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…