January3101 Member Joined Aug 25, 2017 Posts 37 Reaction score 13 Aug 31, 2017 #1 Poleni kwa majukumu wakuu, naombeni mnisaidie katika hili, nimehitimu f6 mwaka jana ila sijachukua cheti, kwenye application ya mkopo nimeattach result slip, kutakuwa na tatizo juu ya hilo? Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni kwa majukumu wakuu, naombeni mnisaidie katika hili, nimehitimu f6 mwaka jana ila sijachukua cheti, kwenye application ya mkopo nimeattach result slip, kutakuwa na tatizo juu ya hilo? Sent using Jamii Forums mobile app
January3101 Member Joined Aug 25, 2017 Posts 37 Reaction score 13 Aug 31, 2017 Thread starter #2 Sorry [HASHTAG]#2016[/HASHTAG] Sent using Jamii Forums mobile app
January3101 Member Joined Aug 25, 2017 Posts 37 Reaction score 13 Aug 31, 2017 Thread starter #3 [HASHTAG]#2016[/HASHTAG] Sent using Jamii Forums mobile app
GODZILLA JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 5,914 Reaction score 10,585 Aug 31, 2017 #4 Tatizo lipo hapo.
January3101 Member Joined Aug 25, 2017 Posts 37 Reaction score 13 Aug 31, 2017 Thread starter #5 Zilla The G said: Tatizo lipo hapo. Click to expand... Kutuma certificate yenyewe itakubali au natakiwa kusubiri watoe majina ya wasiokamilisha ndo nikamilishe Sent using Jamii Forums mobile app
Zilla The G said: Tatizo lipo hapo. Click to expand... Kutuma certificate yenyewe itakubali au natakiwa kusubiri watoe majina ya wasiokamilisha ndo nikamilishe Sent using Jamii Forums mobile app
Ronzobe B29 JF-Expert Member Joined Jul 8, 2017 Posts 242 Reaction score 90 Aug 31, 2017 #6 Kwan watoa mjina ya walokosea
mwenyewe joseph Senior Member Joined Nov 1, 2016 Posts 104 Reaction score 25 Aug 31, 2017 #7 Ronzobe B29 said: Kwan watoa mjina ya walokosea Click to expand... Ofcoz wanatoaga namnapewa mda wa kufanya marekebisho Sent using Jamii Forums mobile app
Ronzobe B29 said: Kwan watoa mjina ya walokosea Click to expand... Ofcoz wanatoaga namnapewa mda wa kufanya marekebisho Sent using Jamii Forums mobile app