Wale waliochaguliwa IFM tukutane hapa

Wale waliochaguliwa IFM tukutane hapa

Sam193

Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Tujuane kwa wale wa IFM wenzangu humu kwenye janm mana kila mtu mara udsm mara udom na xie tujimwaye tupia koz hapa ...heshma kwenu
 
Hongera mkuu kwa kuja ifm mimi pia naingia 2nd year hpo nachukua insurance na risk managmnt ki ukweli chuo ni kizur bt ukijisahau na ukaacha kufanya kilichokuleta pale ndugu chuo utakiona kigumu....anywai

congrats
 
hongera mkuu kwa kuja ifm mimi pia naingia 2nd year
hpo nachukua insurance na risk managmnt ki ukweli
chuo ni kizur bt ukijisahau na ukaacha kufanya
kilichokuleta pale ndugu chuo utakiona kigumu....anywai
congrats

thanx alot bro langu tena xana jiandae kunipokea mdogoako....sory bro kujisahau kivpi samahan ili njipange
 
thanx alot bro langu tena xana jiandae kunipokea mdogoako....sory bro kujisahau kivpi samahan ili njipange

ki ukweli pale kuna watoto wazur kinoma kk na pia kuna masomo ni magumu so usipo kuwa makin daah acha kk first semester tu usharud home
 
Hapo hostel zipo pande gan..maana mzuka tu hapa
 
Woza woza..
Ifm pale center wajanja wote tutakutana pale.
Niaje bandugu.
 
ki ukweli pale kuna watoto wazur kinoma kk na pia kuna masomo ni magumu so usipo kuwa makin daah acha kk first semester tu usharud home

DAH tutapambana ivo ivo kaka hata kma n magum..mungu atatenda tu...kuhus waschana xawa itakua changamoto bt kama mwanaume njia zpo za kuwa escape na kufanya yangu...au nakoxea kaka
 
hahahahhahaaaa karibu kijana ila pale supp zipo nje nje ishu ni kukomaaa tuu while other things remain constant la sivyo kila semi utakua na supp
 
Back
Top Bottom