IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,448
- 2,289
Wakuu izi ni baadhi ya movie ambazo binafsi nimezicheki ni Kali na nzuri zipitie na wewe utojutia
------+++++-----
JIG SAW 1-7 katika muvi za kutisha za mauaji izi usipime kama una moyo mwepesi uwezi cheki
wagumu tafuteni mzicheki naamin wapo waliochek wataleta mrejesho.
FINAL DESTINATION-izi naic wengi wanazijua kwa wasio zijua tafuteni izi amtojuta.
WER nayo ni nzuri icheki taratibu utaielewa
GREEN INFERNO
itafute iyo imechezwa misitu ya amazon na wale canibal wala watu nayo ni Kali sio mchezo
DEAD MINE -hii nayo nzuri sana tafuteni
LAKE PLACID pia izi ziko ka nne ni Kali na nzuri sana
WOLF CREEK-Hii kuna Mzee ana enyesha watu mbaya ziko 2 zitafuteni
DOG SOLDIER-Nayo Kali imechezwa Scotland uko ila ya kitambo kitu ka 2002 ivi.
THE STAKLE LAND-muvi kali zipo mbili ni nzuri hasa namba2
POMPEI-inahusu sana historia za kale uko kwenye milima yenye volcano
IAM NUMBER FOUR-nayo ni Kali kwa ukali wake
NINJA SHADOW- yupo mwamba Scott adkin zipo 1&2 Kali sana.
Wakuu zitafuteni kwanza izo kwani amtajuta au nendeni YouTube mkacheki trailer zake kabla ya kuzipakua hizi pic moja ya movie ya saw number 7 izi saw sio mchezo wakuu.