Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Oct 23, 2015 #2 Hivi in kwa mini ccm wanafurahi hili jambo hivi..??
J JUMA KALLAH Member Joined Oct 16, 2015 Posts 15 Reaction score 0 Oct 23, 2015 #3 Me.mbn bado.sijaelewaaa
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 22,769 Reaction score 27,502 Oct 23, 2015 #4 HAPA NDIPO PANAPOSTAAJABISHA MWENYE AKILI NI LAZIMA ATAJIULIZA SANA!,KWA NINI WALIFURAHIE SUALA HILI? **HORIFYING** ii
HAPA NDIPO PANAPOSTAAJABISHA MWENYE AKILI NI LAZIMA ATAJIULIZA SANA!,KWA NINI WALIFURAHIE SUALA HILI? **HORIFYING** ii
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,264 Reaction score 103,437 Oct 23, 2015 #5 Mie nitarudi nyumbani maana hawa polisi hawa mmmmmmh siwaamini kabisa
Muyobhyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 8,149 Reaction score 6,554 Oct 23, 2015 #6 Wajiandae kuongeza magereza na makab...., manake kuwaaikiliza wananchi hawatakubali, baba riz keshawaambia ole wao wakubali, wameogopa
Wajiandae kuongeza magereza na makab...., manake kuwaaikiliza wananchi hawatakubali, baba riz keshawaambia ole wao wakubali, wameogopa
R richard shemzigwa Member Joined Oct 16, 2015 Posts 7 Reaction score 1 Oct 23, 2015 #8 !Mungu ibariki iponye Tanzaniania
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 Oct 23, 2015 #9 Sijafikia kuamini bado kuwa nchi hii itapelekwa mbele na watoto wa kiume wanaotoboa masikio na kujichubua ngozi ya mwili. Kupaka poda tuwaachie kina dada
Sijafikia kuamini bado kuwa nchi hii itapelekwa mbele na watoto wa kiume wanaotoboa masikio na kujichubua ngozi ya mwili. Kupaka poda tuwaachie kina dada
N nbn Member Joined Aug 14, 2015 Posts 65 Reaction score 13 Oct 23, 2015 #10 JUMA KALLAH said: Me.mbn bado.sijaelewaaa Click to expand... Tatizo una akili za ukawa. Huwezi elewa. Tehe Tehe Tehe.
JUMA KALLAH said: Me.mbn bado.sijaelewaaa Click to expand... Tatizo una akili za ukawa. Huwezi elewa. Tehe Tehe Tehe.
S suplex city JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 433 Reaction score 117 Oct 23, 2015 #11 Tutapanda juu ya miti kulinda kura zetu na juu ya bati si hamtaki mikusanyiko .
kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,222 Reaction score 1,679 Oct 23, 2015 #12 Hivi kura zinalindwa nje au ndani? Naomba waongeze idadi ya mawakala Attachments 1445610498709.jpg 62.6 KB · Views: 713
AdanaVural JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 628 Reaction score 354 Oct 23, 2015 #13 Polisi wanatafuta wa kumaliza naye awamu hii
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,235 Oct 23, 2015 #15 Mary Nagu kakamatwa na masanduku yaliyopigwa tayari KURA. Goli la Mkono hilooo. Ninaamini hata kwa Wagombea wengine wa CCM, mambo ni hayohayo.
Mary Nagu kakamatwa na masanduku yaliyopigwa tayari KURA. Goli la Mkono hilooo. Ninaamini hata kwa Wagombea wengine wa CCM, mambo ni hayohayo.
P Prof bacher Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Oct 23, 2015 #16 Sikonge said: Mary Nagu kakamatwa na masanduku yaliyopigwa tayari KURA. Goli la Mkono hilooo. Ninaamini hata kwa Wagombea wengine wa CCM, mambo ni hayohayo. Click to expand... toa uthitibitisho niamin
Sikonge said: Mary Nagu kakamatwa na masanduku yaliyopigwa tayari KURA. Goli la Mkono hilooo. Ninaamini hata kwa Wagombea wengine wa CCM, mambo ni hayohayo. Click to expand... toa uthitibitisho niamin