Wale wakuingilia mapenzi ya watu

Wale wakuingilia mapenzi ya watu

Hakuna hata picha mkuu?
Screenshot_2017-02-21-12-11-16.png
 
Kuna wengine bila kuingilia mapenzi ya watu maisha yao hayana furaha,ukiwajua unakuwa makini nao tu na ikibidi unawaweka mtu kati na kuwapa live kuliko kukaa kimya.
Mungu katuumba kila mtu na tabia yake ili tuweze kusoma kupitia wenzetu na kuishi nao kulingana na vilem vyao.
 
Ni watu WAJINGA, WAMBEA NA WASIO NA KAZI ZA MAANA ndio wenye muda wa kuchunguza mapenzi au maisha ya watu wengine.
 
Halafu utakuta watu kama hao kwenye siasa wana kazana kumsema makonda na magufuli hadi wanatoa jasho.

Wakati wanafanana nao sema wenyewe wanakuwa kina makonda na magufuli wa mapenzi ya watu.
 
Halafu utakuta watu kama hao kwenye siasa wana kazana kumsema makonda na magufuli hadi wanatoa jasho.

Wakati wanafanana nao sema wenyewe wanakuwa kina makonda na magufuli wa mapenzi ya watu.

Nakupenda iceman3d na unajua
Unaona watakavyotoa macho Ahhahahahaha,,
 
Back
Top Bottom