Wale Wake Zenu Wanaofanya Kazi(walioajiriwa) Poleni Sana, Nilichokiona Jana Kinasikitisha

Kuchepuka ni tabia ya mtu haijalishi kaajiliwa au laa. Ukiona mwanamke wa hivyo ujue ni kimeo tu hata kama angekuwa hajaajiliwa kama ana hulka ya kuchepuka atachepuka tu na wala sio kigezo boss kwani huyo boss kampuni ni ya kwake.

Nakumbuka kipindi napambana na ajira mtaani kugumu,,maisha yamepiga hatari.Niliwahi kuomba kazi kwenye kampuni moja,,boss akaniambia oooh kama unataka kazi basi naomba tukutane kimwili kwanza ndo nikupe kazi nilichomjibu sina kazi lkn elimu yangu inathamani kuliko hata hiyo kazi uanayotaka kunipa. Ikaishia hapo.

Siku nyingine tena ktk kutafuta kazi niliunganishwa na rafiki yangu kwenye kampuni nyingine. Basi tukawa tunawasiliana vizuri baadae akadai natakiwa kutoa laki 4 za kuwapa watu kwenye panel kweli nikatuma ile hela kwa njia ya simu. Baadae akaniambia nipeleke CV yangu nitamkuta sehemu fulani ambayo ni logde na ilikuwa siku ya weekend. Binafsi sikuwaza vibaya maana hakuwahi hata kusema ananitaka kimapenzi nilijua nimeshatoa hela basi ninachosubiri ni kazi. Ile nimefika akaniambia nipo chumba fulani niletee bado sikumuwazia vibaya nikajisemea labda yupo na mambo yake. Nimeingia namsalimia kwa heshima zote ghafla akafunga mlango. Loooh nikaogopa nikasema mbona majaribu umasikini wangu ndo nidhalilishwe hivi,,,ndo akaanza oooh nakupenda sanaa nimeshindwa kujizuia nikamuuliza unawezaje kumpenda mtu ambaye humfahamu. Ki ukweli niloghafirika sana niliumia sana. Lkn nikajisemea siwezi kuuza utu wangu kwa sababu ya kazi nimesota miaka yote hii. Basi nilichomwambia sawa kama lengo lako ni kufanya mapenzi na mimi nipo tayari haina shida lkn nina changamoto,,akauliza changamoto gani nikamjibu mi ni muathirika huwa natumia dozi nimeona nikuambie ili nisije kukua bila hatia. Na kipindi hicho nilikuwa nimekonda hakuna mfano,,stress za kazi mapenzi maisha magumu akaamini. Alivyosikia hivyo tu akashukuru hakuamini na mdudu wake ghafla ukanywea basi ikawa pona yangu.

Kwa hiyo suala la mwanamke kutoa mwili wake kwa kigezo cha uboss wake huo ni utashi wake tu na akilo mbofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono. Wapo wanawake na misimamo yake.
 
Laki 4 ilirudi au ulipata kazi?
 
Laki 4 ilirudi au ulipata kazi?
Ilirudi maana nilimtumia kwa njia ya simu ushahidi ulikuwepo,,na hayo maongezi yake niliyarekodi. Hivyo nilichomwambia anirudishie mwanzo akajifanya mbabe lkn nikwambia mi sina nitachopoteza muamala wa hela nilikuwa nishaufuta ila niliwaomba voda wakanitumia tena na zile record zake na sms. Nikamwabia usiponirudishia nazipeleka popote nitapopata msaada.Baadae akanitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi mke wako anafanya kaz ama mama wa nyumban. Ishu kupigiwa mke haina uhusiano na kaz kabisaa. Demu akimau tuu yy mwnyw haijalishi awe mama nyumban au anafanya kaz utapigiwa tuuu
 
Suala la ndoa lifutwe,ibaki tunaishi tu kama wanyama,yaani hakuna cha mke wangu au mke wa nani,inaumiza moyo,mke ambaye umemlipia mahari,unawajibika kutoa matumizi effectively, na jamii inajua ni mke wako,lakini kumbe anagongwa hovyohovyo kama mmama ambaye yuko singo na hana maadili.Kwanini muwe mnaishi kinafiki hivyo... akirudi anajikausha kama hajagongwa... kumbe kasuguliwa hovyo.

Hahahaaa kwahiyo unataka akirudi akuhabarishe duh !
 
kabla sjakuuliza naomba ujiulize mwenyewe mana mama yako dada zako shangazi zako bibi zako na mama zako wote waliobakia wanazo akili??
mada inahusiana na wanawake anaoweza kuwamicha ikiwa ndugu zake au mama yake au bibi wataingia kwenye kundi hilo basi ni kutokea kwenye kinywa chako au cha mwingine sio kwake.
 
Kuchepuka ni tabia ya mtu haijalishi kaajiliwa au laa. Ukiona mwanamke wa hivyo ujue ni kimeo tu hata kama angekuwa hajaajiliwa kama ana hulka ya kuchepuka atachepuka tu na wala sio kigezo boss kwani huyo boss kampuni ni ya kwake.

Nakumbuka kipindi napambana na ajira mtaani kugumu,,maisha yamepiga hatari.Niliwahi kuomba kazi kwenye kampuni moja,,boss akaniambia oooh kama unataka kazi basi naomba tukutane kimwili kwanza ndo nikupe kazi nilichomjibu sina kazi lkn elimu yangu inathamani kuliko hata hiyo kazi uanayotaka kunipa. Ikaishia hapo.

Siku nyingine tena ktk kutafuta kazi niliunganishwa na rafiki yangu kwenye kampuni nyingine. Basi tukawa tunawasiliana vizuri baadae akadai natakiwa kutoa laki 4 za kuwapa watu kwenye panel kweli nikatuma ile hela kwa njia ya simu. Baadae akaniambia nipeleke CV yangu nitamkuta sehemu fulani ambayo ni logde na ilikuwa siku ya weekend. Binafsi sikuwaza vibaya maana hakuwahi hata kusema ananitaka kimapenzi nilijua nimeshatoa hela basi ninachosubiri ni kazi. Ile nimefika akaniambia nipo chumba fulani niletee bado sikumuwazia vibaya nikajisemea labda yupo na mambo yake. Nimeingia namsalimia kwa heshima zote ghafla akafunga mlango. Loooh nikaogopa nikasema mbona majaribu umasikini wangu ndo nidhalilishwe hivi,,,ndo akaanza oooh nakupenda sanaa nimeshindwa kujizuia nikamuuliza unawezaje kumpenda mtu ambaye humfahamu. Ki ukweli niloghafirika sana niliumia sana. Lkn nikajisemea siwezi kuuza utu wangu kwa sababu ya kazi nimesota miaka yote hii. Basi nilichomwambia sawa kama lengo lako ni kufanya mapenzi na mimi nipo tayari haina shida lkn nina changamoto,,akauliza changamoto gani nikamjibu mi ni muathirika huwa natumia dozi nimeona nikuambie ili nisije kukua bila hatia. Na kipindi hicho nilikuwa nimekonda hakuna mfano,,stress za kazi mapenzi maisha magumu akaamini. Alivyosikia hivyo tu akashukuru hakuamini na mdudu wake ghafla ukanywea basi ikawa pona yangu.

Kwa hiyo suala la mwanamke kutoa mwili wake kwa kigezo cha uboss wake huo ni utashi wake tu na akilo mbofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee wewe ni wa KIPEKEE sana!. Mpo wachache Sana nyakati hizi. Ubarikiwe sana. Mungu azidi kukustawisha daima...!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Hivi kuoa ni lazima?! Binafsi nahisi sitaoa.. Wacha nitafute Mtoto wa pili nifunge kurasa nisomeshe warithi wangu.
 
Haijalishi mke wako anafanya kaz ama mama wa nyumban. Ishu kupigiwa mke haina uhusiano na kaz kabisaa. Demu akimau tuu yy mwnyw haijalishi awe mama nyumban au anafanya kaz utapigiwa tuuu
Mke daktari au nesi,anayekua night,uwezekanowa wa yeye kugongwa ni mkubwa sana,jamani tunajionea haya mambo.Hiyo ya eti hulka ya mtu,ni kichaka tu
 
Bwashee ilikuwaje rais akawa mwanamke hapa TZ?
Nadhani wangekuwa hawana akili hata Samia ni ke, hebu funguka rais wako hana akili?
Acha mawazo ya kifala kijana
Angekuwa na akili angekubali kuolewa mke wa nne? Pia si unaona kauza bandari yetu kwa DP World? Mwanamke ni mwanamke tu hata akiwa nani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom