Mambo vipi wadau, Wale wapenzi wa Pub G Mobile season 10 imepamba moto. Vipi tunaonaje game msimu huu. Server ya Africa iko mbioni kuwekwa.
Niambie unapenda sana server gani, Sanhok, Erangel au Miramar. Vipi kuhusu Zombie mode? Tunaweza kupambana na wakina Levinho na Panda? Bunduki gani unazipendelea sana?
Ulishapiga Chicken dinner mara ngapi na ipi ilikuwa ngumu. Na mengine mengi.
Binafsi ni mpenzi wa games ila kwa hii bado sijawahi pakua selewi ninapata uzito gani.
Labda km nikipewa maelezo ya kunishawishi kupakua nilipakue. Nianze kupambana nlo.
Binafsi ni mpenzi wa games ila kwa hii bado sijawahi pakua selewi ninapata uzito gani.
Labda km nikipewa maelezo ya kunishawishi kupakua nilipakue. Nianze kupambana nlo.