Wale wa vitu vya mitumba

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
Haya haya wale wanaopenda vitu vya mitumba kuna miswaki used tena migumu haiishi haraka kama unahitaji wasiliana nasi kupitia 0752723351
 
Haya haya wale wanaopenda vitu vya mitumba kuna miswaki used tena migumu haiishi haraka kama unahitaji wasiliana nasi kupitia 0752723351

Chupi za mtumba pia unazo?
 
Vipi siku hizi umeacha kuuza tigo used, I mean line za tigo used
 
used ya nini wakati michina imejaa tena yauzwa kwa mafungu,fungu sh 100.fungu moja lina miswaki 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…