Wale wa udsm wanaotaka kubadili course walizochaguliwa, someni hapa

mtungutu

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
296
57
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
PROCEDURE FOR CHANGE OF DEGREE PROGRAMME
All first year students are required to register in the academic programmes they have been admitted to. Those wishing to transfer from one academic programme to another will be allowed only where the student has higher points than the cut off point for the academic programme for which transfer is being sought, and a vacancy exists in that programme. Transfer from educational programmes is not permitted.
Except in exceptional circumstances, no student will be allowed to change subjects/courses later than the Friday of the fourth week after the beginning of the first semester. All applications should therefore reach the Director of Undergraduate Studies before 8th November, 2013.
Students wishing to transfer from one academic programme to another should address their letters to:
The Director of Undergraduate studies
u.f.s. Principal of the College or Dean of School the student wants to transfer to
u.f.s Head of Department responsible for the programme to which the student seeks to be transferred to
u.f.s. Principal of College or Dean of School the students wants to be transferred from
u.f.s Head of Department responsible for the programme from which the student seeks to be transferred from
Applications that will reach the Directorate after 8th November, 2013 will not be processed.
Prof. A.R. Mushi
Director of Undergraduate Studies

Kwa maelezo mengine tembelea website yao. www.udsm.ac.tz
 
Sasa mbona hapa serikali haitoi uhuru kwa watu wa education kuhama? Kama mtu kajigundua hawezi kua Mwl kwa nini asibadilishe!! Hii sio haki
 
kozi umeapply mwenyewe sasa kiherehere cha kuhama kinatoka wap? Au kipindi unaapply ulikua unasinzia au unahama kwa kufuata mkumbo watch out itheee
 
kozi umeapply mwenyewe sasa kiherehere cha kuhama kinatoka wap? Au kipindi unaapply ulikua unasinzia au unahama kwa kufuata mkumbo watch out itheee


Ukija kupewa kitengo tcu elimu utaifukia kabisa. Unajua wengi wetu tunapomaliza kidato cha 6 hua tunafuata mkumbo na tunakua waoga sana kujaza non priority kozi, tukiamini kua kujaza hzo kozi mkopo haukufikii hata chembe. Sasa leo mtu kafanya tafiti kajigundua kile alichojaza sio kwa mapenzi yake bali ni mkumbo na kipo alichotamani kusoma, nafasi yakuhama ipo, muda upo, sababu ipo, kwa nini asihamie huko ili apende masomo yake na hata kuja kupenda kazi yake baadae.
 
"a vacancy exists in that programme" je hii inamaanisha ni zile programmes zenye slots zilizotolewa na TCU au wanaweza wakaamua kuongeza tu idadi ya watu kwenye baadhi ya programmes?
 
"a vacancy exists in that programme" je hii inamaanisha ni zile programmes zenye slots zilizotolewa na TCU au wanaweza wakaamua kuongeza tu idadi ya watu kwenye baadhi ya programmes?


for course with slots..only! So course iliyojaa haina nafasi hawaongezi watuu..!
 
Back
Top Bottom