hongereni vjana me pale niliuwa project planng managmt n' commnt dvlpmnt
Mkuu unapiga Program ipi na uko mwaka wa ngapi
hongereni vjana me pale niliuwa project planng managmt n' commnt dvlpmnt
Software engineering mkuu.
I hope to c u when I get there.Software engineering mkuu.
Aiseee kumbe tuko wengi hivi???? hebu wazoefu na wenyeji wa chuo mtupe michakato inakuaje kuanzia campus life,accommodation, opening day, usafiri na vinginevyo
udom kupo pouwa, full accomadation to all studentxs, usafiri ni wa uhakika kwenda na kurudi town, openining day hakuna cha maana sana ila we wahi tu ukafanye registration mapema. Mambo mengine nitawajulisha kadili muda unavyokwenda c unajua tena sisi ndo ma legend pale!
yap!yap!yap!wadau wa UDOM niaje mazee?aisee me nitakuwa CoEd,pursuing Bachelor of Ed. with ICT
Tunashukuru kwa kutu tia moyo mkuu!! tunakutegemea kwa taarifa zaidi
Ndo tunaenda kuanza au wewe ni mwenyeji mkuu??
I hope to c u when I get there.
tutakua coz 1,pamoja sana