Wale wa UDOM

bonge la pointi, tujiunganishe wadau, tuwe pamoja, kwan wengi tu wageni huko
 
yap ni vyema.JF UDOM TOGETHER WE CAN.
 
Karibuni dodoma vijana wangu. Tutakuwa pamoja pande hizo.
 
mpeni hiii... mlacha mwambieni bado natafuta ajira kitaani! ila nikiwa kamanda nitamfwata skumoja nimpige makofi! hongereni vijana
 
Dah wakuu mbona ni boys pekee? Wale wenzetu siwaoni hapa isije ikawa hata uko chuo wakawa wa kuvizia.
 
Dah wakuu mbona ni boys pekee? Wale wenzetu siwaoni hapa isije ikawa hata uko chuo wakawa wa kuvizia.

Si bora hata wasiwepo JF tuwakute Chuo, nime check Mining Engineering kuna maduu wawili tu(yap wawili) alaf ma dume 42 sasa sijui class itakuaje
 
Dah wakuu mbona ni boys pekee? Wale wenzetu siwaoni hapa isije ikawa hata uko chuo wakawa wa kuvizia.

Duh! Unaulizia totoz udom! Ka we ni wa totoz mbona utawakimbia coz wakal wengi ni wa social science na wale ni NO LOAN so jipange kupigwa mizinga.
 
Reactions: GP
hongereni vjana me pale niliuwa project planng managmt n' commnt dvlpmnt
 
kuna viumoja mfano kule facebuk kuna udom facebookers, udom chember, kwa wale wa scnc kuna k2 knaitwa hi collage ipo kama face buk wameitegeneza watt wa informtcs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…