Wahitimu wa Ualimu Tumaini University, Makumira kutokupangiwa vituo vya Kazi na Ajira. Kulikoni??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahitimu wa Ualimu Tumaini University, Makumira kutokupangiwa vituo vya Kazi na Ajira. Kulikoni???

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baba Dorcas, Jan 19, 2012.

 1. B

  Baba Dorcas Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau mlioko jikoni, naomba kuuliza ni kwa nini hamjawapangia vituo walimu waliomaliza shahada ya Elimu katika Chuo Kikuu Cha Tumaini tawi la Makumira? Nimejaribu kufungua files zote hakuna mwanachuo aliyemaliza makumira kapangiwa kituo. In short hakuna jina la Makumira kwenye orodha ya vyuo. Kulikoni Moevt pamoja na wizara ya Ajira mna mpango gani na vijana hawa???? Au ni wenge langu la kutokujua kutumia mtandao?
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwani vyuo vingine wamepangiwa.
   
 3. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Vp kwani post zimeshatoka?
   
 4. H

  House1932-1951 Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chuo cha wachungaji watapangiwaje Islamic School jamani? ili wakauwe uislamu?wabadili vision yao kwanza maana wanasema they building the churh of God
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu,mtoa thread una uhakika na unachopost? c vema kukurupuka
   
 6. B

  Baba Dorcas Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo mana nkataka nisaidiwe kuangalia coz nina ubovu wa macho! Kwa kuangalia kwangu ni kama hayapo na kama wapo hawazidi 10.
   
 7. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ulivyofurahi!
   
 8. n

  nkwezi Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: May 8, 2007
  Messages: 57
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kama una mchango nyamaza!!!!!!!! Islamic school au .............. Maana ndio wamejaa pamoja na wafanyakazi. Watu tuna fully takwimu atushabikii ila tunahitaji amani na upendo katika hii nchi.
   
 9. P

  Ptz JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Ni kweli wengi wa Makumira hawajapewa posti ila soon watapewa, wengine wa Makumira wapo mfano angalia kwenye orodha na 2181 huyo ni mwalimu kahitimu Makumiraa na kapangaiwa Arusha vijijini. Hata mwaka jana kuna watu walisaharika na wengine walikuwa hajacrear baadhi ya mambo yao kwa kuwa na incomplite na mengineyo, subirini muda wowote
   
 10. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 1,765
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa sijui......kama udini aisee kweli udini umeshaanza
   
 11. K

  KASUKU BUBU Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo la tumaini university zote ni ubovu wa elimu.
  Mfano ni tumaini iringa wanafunzi wengine hata class hawaingii,akijaziwa incomplete na lecturer siku results zinatoka utakuta kapata "a". Walimu wanabaki kushangaa.

  Vyuo vya tumaini vinatoa vyeti tu havina lolote ndo mana waliodisco mzumbe,udsm na sua wanakimbilia tumaini iringa au makumira, at last wanatoka na "first class".
   
 12. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hebu muulize anayehusika kufikisha majina yenu wizarani kama alifikisha ndiyo ulalamike mf:wa makumira aliulizwa akasema hakuyapeleka sababu hana,hebu fuatilia tumaini.
   
 13. m

  merick david Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMAN ACHENI USHABIKI KWENYE SWALA LA MSINGI KAMA HILI KWANI NI KWELI MAJINA HAYAJATOKA NA MPAKA SASA HATUJAJUWA TATIZO NI NINI HIVYO TUSIKURUPUKE KUPELEKA LAWAMA KWA SABABU HATUJUI TATIZO LIKO WAPI NA NANI WAKULAUMIWA CHA MSINGI TUWAOMBE WAHUSIKA (WAHITIMU) WAJARIBU KULIFUATILIA SWALA HILI KWA KINA NA KISHA KUPATA MAJIBU SAHIHI ILI TUONE NI HATUA GANI INAFUATA KATIKA KUMALIZA SWALA HILI NI SWALA LA KUSEMA CHUO HAKINA UBORA KWANI NI VIGEZO VIPI MNATUMIA KUPIMA UBORA WA CHUO NA ELIMU INAYOTOLEWA?:embarassed2::embarassed2:
   
 14. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,200
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Na Mkwawa je?
   
 15. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,200
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Duh lugha za watu hizi... dhambi ya udini imekufanya usahau hata kuandika vizuri
   
 16. F

  FILOSY Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wana sifa mbona hata mkwawa na udom baadhi hawajapangiwa
  :bolt:
   
 17. M

  Mboy New Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe unaesema islamic school umechemsha nchi yetu haina dini ila wewe una dini.
   
 18. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usitoke nje ya maada.
   
 19. D

  DOMA JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Wote waliomaliza wamesoma theology
   
Loading...