kwa mfano unachukua BBA ada ni 1295000. Then serikali imekulipia ada kwa njia ya mkopo tuseme 600000 ..utachotakiwa kufanya ni kulipa iliyobaki ambayo ni 695000 hapo unakuwa umelipa ada ya mwaka mzima au pia ukilipa 395000 unakuwa umelipa ya 1st semester, kuhusu usajili jisajili online kwenye student IS kupitia web yao then nenda chuoni stationary kuna form utatakiwa kuzinunua za registration na joining kama unayo with five passport size...
Maelekezo mengine utayapata hukohuko.
siku njema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.