wale wa TANGA Kunani

Kapuyanga Tanga ni mkoa wenye makabila ya bara na ya pwani,ndio mana kuna matamshi tofauti
 
Tanga kalale SAHARE maeneo ya kwa BABA UBAYA, kwa msosi na drinks nenda Nyinda Bar & Restaurant, kwa night out nenda LA CASSA CHIKA club au kwa live band nenda NYUMBANI LOUNGE. w
 
We ni jinsia ME au KE?!! Maana lazima tujue ili tuangalie protocol,na pia una private transport au public? Me ni mwenyeji huku japo makazi Dar na nipo kwa wkend!!

Hahaha .me
 
mapango ya amboni,pangani kuna beaches nzuri sana.. watu8 njoo huku
 
Last edited by a moderator:
Tanga kalale SAHARE maeneo ya kwa BABA UBAYA, kwa msosi na drinks nenda Nyinda Bar & Restaurant, kwa night out nenda LA CASSA CHIKA club au kwa live band nenda NYUMBANI LOUNGE. w

Enzi za limbachia ndio zilikuwa zenyewe.
 
Tanga kalale SAHARE maeneo ya kwa BABA UBAYA, kwa msosi na drinks nenda Nyinda Bar & Restaurant, kwa night out nenda LA CASSA CHIKA club au kwa live band nenda NYUMBANI LOUNGE. w

Hamia Tanga m baba....unavyojua kuelekezaa
 
Umelala wapi ? umelala peke yako mijitoto yote hiyo Nyinda. usikose kupita nyama choma hotel barabara ya 11 kesho asbh

Nipo mtendele hapa,Nyinda wanene tupu,asubuhi unaweza kulipishwa kitanda na hotel manager!!!
 
Nmekuita utoe mchango wako kuhusu sehemu nzuri za kutembelea tanga!

Haha! mpenzi naona wewe, Arushaone na wengine mshataja sehemu zote nzuri kwa huyu Mnyakyusa kutembelea...

Ila kule Pangani mbali sana na barabara yake mbovu ya kufika huko...
 
Haha! mpenzi naona wewe, Arushaone na wengine mshataja sehemu zote nzuri kwa huyu Mnyakyusa kutembelea...

Ila kule Pangani mbali sana na barabara yake mbovu ya kufika huko...

Yan hiv ndo nataka nichomoke nianze ku explore mji wa Tanga. Huko pangani naweza fika next time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…