Wale wa taarabu!!!

Mimi naomba msaada wa taarab moja hivi mashairi yake yanasema, " Yailahi shoga si shoga, kumbe ni hasidi eeh
Nalia shoga si shoga, kumbe ni hasidi"
Nimesahau uliimbwa na nani.
 
Mimi naomba msaada wa taarab moja hivi mashairi yake yanasema, " Yailahi shoga si shoga, kumbe ni hasidi eeh
Nalia shoga si shoga, kumbe ni hasidi"
Nimesahau uliimbwa na nani.
Atakuwa diamond tu huyo.wala usipate tabu sheikh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…