wilsonilanga Member Joined May 26, 2013 Posts 79 Reaction score 14 Oct 31, 2015 #1 mungu ashukuriwe maana matumbo yalikuwa joto.Ila majina yanapatikana kwenye website ya sua
donMramba JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 250 Reaction score 43 Oct 31, 2015 #2 Ni kwa sua tuu lakini
wilsonilanga Member Joined May 26, 2013 Posts 79 Reaction score 14 Oct 31, 2015 Thread starter #3 ndiyo itakuwa ni sua 2 maybe na udsm
Endo agar JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 487 Reaction score 335 Oct 31, 2015 #4 Sababu ni kuwa sua&udsm wamekamilisha sidhani ka kuna batch nyingine toka vyuo ivo.
Ally96 Member Joined Jul 16, 2013 Posts 32 Reaction score 4 Oct 31, 2015 #5 Duuh majanga tuu mwaka huu kwel kazi tuu 662 out of 4000 na kitu
grysn JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 266 Reaction score 35 Oct 31, 2015 #6 apa kazi tuu... Ally96 said: Duuh majanga tuu mwaka huu kwel kazi tuu 662 out of 4000 na kitu Click to expand...
apa kazi tuu... Ally96 said: Duuh majanga tuu mwaka huu kwel kazi tuu 662 out of 4000 na kitu Click to expand...