malagira roman
Member
- Sep 22, 2014
- 58
- 3
selection zimetoka za wapi?
mbona selection zishatoka mkuu, wewe bado unaangaika na hayo macapacity¤!
Selection Afya Zisha Toka Chek Profile Yako Vzr
degree bado had nxt wk mm niko na mtu nacte kasema had nxt wk tulien
heri kidogo umenitoa presha maana nilikua namuwazia mwanangu hapa akikosa mwaka wote nimpeleke akasimamie mashamba uko
Uliomba Degree Gan Au Faculty?Maana Hata Kwenye Afya Kuna Degree Au Ndo Arts Studies?
Aisee cjui inakuaje kwa sisi wa diploma mbona kama form six wanapendelewa sana kuliko diploma nafasi zikijaa ndo wanakumbukwa wa diploma ina uzi sana yaan unaambiwa admission capacity ni 0.[/QUOTE
Hakuna upendeleo kila watu wana nafasi zao hakuna atakaye kosa chuo