hamna chuo kinaitwa hlo jina .....
MUHIMBILI UNIVRTSITY ......hapana aiseee hakipo
Wewe dokta gani mwandiko wako unasomeka?
MUHAS wanawaza msuli tu hawana mda wa kuingia jf
Madaktariii someni bana mje mtutibu lakini nanyie msiwe mnakula rushwa.Ukifika tu Dr Russa anakutuliza na Anatomy,Dr Nyambo anakuweka sawa na Biochemistry huku Balandya(Balantidium) anakutuliza na PhysiologyUtatulia tu usome shule
Madaktariii someni bana mje mtutibu lakini nanyie msiwe mnakula rushwa.
Ukifika tu Dr Russa anakutuliza na Anatomy,Dr Nyambo anakuweka sawa na Biochemistry huku Balandya(Balantidium) anakutuliza na Physiology
Utatulia tu usome shule