wale wa MUHIMBILI UNIVETSITY...?

wale wa MUHIMBILI UNIVETSITY...?

Dr.viruz

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
183
Reaction score
155
sijaona post inayohusu muhimbili...
first year na wadau wa muhimbili tupeane information
-chuo kinafungulwa lini?
-direct payments?
-changamoto zingine chuoni?


KARIBUNI....
 
MUHIMBILI UNIVRTSITY ......hapana aiseee hakipo
 
Umenena kaka "MUHIMBILI UNIVERSITY" akunaga alekebishe kauli
 
muhimbili university of health and allied science
 
Karibu Muhimbili University of Hypertension and Associated Stresses(MUHAS)(am kidding)

Chuo kipo Upanga jirani kabisa na hospitali ya taifa Muhimbili.Chuo kinafunguliwa 2nd November kwa first years na 9th November kwa continuing

Direct payments zimeorodheshwa kwenye admission letter na ni pesa ya kawaida

Hii ni medical school,changamoto zake ni kama za medical school yoyote,kukaza msuli tu
 
unaweza ukawa mshamba kwa muda kwa usicho kijua.!! Naomba kuulza MUHAS Wanatoa diploma yyte ya course za Afya?
 
yap wanatoa diploma za pharmaceutical sciences,laboratory,nurses,diagnostic radiography,na environmental health sciences..sema msuli wako ndio mafanikio yako
 
kwan msuli unahusikaje kwenye masomo maana mm ninao mkubwa tuu na ninapiga chuma balaa na six pack kama za di mond.

anyway hiyo kitu ni kusoma kwa bidii bana maana kwa level za diploma naskia nayo ni hatareeeee
 
Ukifika tu Dr Russa anakutuliza na Anatomy,Dr Nyambo anakuweka sawa na Biochemistry huku Balandya(Balantidium) anakutuliza na Physiology

Utatulia tu usome shule
 
Ukifika tu Dr Russa anakutuliza na Anatomy,Dr Nyambo anakuweka sawa na Biochemistry huku Balandya(Balantidium) anakutuliza na PhysiologyUtatulia tu usome shule
Madaktariii someni bana mje mtutibu lakini nanyie msiwe mnakula rushwa.
 
Ukifika tu Dr Russa anakutuliza na Anatomy,Dr Nyambo anakuweka sawa na Biochemistry huku Balandya(Balantidium) anakutuliza na Physiology

Utatulia tu usome shule

siku hizi wakina ntogwisangwi hawawafundishi tena?? kama ni hivyo physilogy ishakua rahisi muhimbili
 
Back
Top Bottom