Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 657 Mar 25, 2011 #1 Mimi Mwana JF ni siku nyingi nimekuwa nikitaka kukutana na Jf hapa Moro ila sijafanikiwa kuonana hata na mmoja sasa kama mpo tutafutane jamani. na wale wanakuja Moro karibuni sana kwenye mji tulivu usiokuwa na foleni. Asanteni
Mimi Mwana JF ni siku nyingi nimekuwa nikitaka kukutana na Jf hapa Moro ila sijafanikiwa kuonana hata na mmoja sasa kama mpo tutafutane jamani. na wale wanakuja Moro karibuni sana kwenye mji tulivu usiokuwa na foleni. Asanteni