Wakati wa kazi ujuzi iliupata humu humu kazini, J.pili salamu kwa wagonjwa, ajuaye bwana mgonjwa kuwa salama mzima kuwa mfu, zilipendwa, Nyaisanga na mwenzie wa makabila yetu wote wame RIP. Dada Sara Dumba, External service tunasikiliza wapigania uhuru wakitoa sera zao.ANC PAC, Frelimo na wengine hasa juma pili mchana tukiwa likizo nilikuwa nashinda kwenye redio nasikiliza sera.
Tunatoka huko tunakuja kuletewa eti vyombo vya habari kumsikiliza mkuu wa mkoa??? wapi na wapi. Deko