Nawa uso utoe hizo tongotongo maana umekurupuka kuandka hueleweki umeandika nin!hi siyo facebook!haya tusuke mikeka hapa City leo uhakika natafta ya kujazia
haya tusuke mikeka hapa city leo uhakika natafta ya kujazia
nawa uso utoe hizo tongotongo maana umekurupuka kuandka hueleweki umeandika nin!hi siyo facebook!
una hasira na kipgo cha mbeya city au? Wenzako wadat wanaelewa ,ungeuliza kistaarabu tu ungeelekezwa.