Hello, nimefurahi kwa post hii. Wale mnaosema mama Luoga, au Mr Lopha naona mmesahau kidogo. Badala yake ni mama Luhaga na Mr Luhaga. Mwenzenu nilipita enzi za mzee Msaki, nakumbika alikuwa akisisitiza KAKUNI tuuu, yaani, Kazi+Kusoma+ Kazi= first class au second class tu. kweli napamisi Kibaha jamani
Mkuu, unanikumbusha habari ya Mwanalugali, Maili Moja, Picha ya ndege NK.
Bila kusahau weekend tunapanda Zainabu au Scandinavia kuaj SPACE 1900 MBOWE DISCO kwa Chriss Phabby . . . LOL
Masa,, apo kwen hesabu usimguse 'babu' Mhango...sijui ameshastaafu au bado yupo hai? Mi nilikuwa nachukua BAM lakini haikuwa na tofauti sana na advanced, vijana walikuwa wanapiga hesabu asikwambie mtu1
apo kwa mama Nyiti,,, with a light touch....
kuna mzee Mpalaza alikuwa kilimo nasikia kawa headmaster Ruvu
Mzee mwenyewe Abdula wa Chemistry na yeye kapewaulaji wa uheadmaster....ila ile ilikuwa kichwa linapokuja suala la organic chemistry...
I think it was one of best schools .
Mzee Hella aliwafundisha chemistry? Alikuwa pia mzuri.
Wengine tulisoma KiBAHA wakati huo ikiitwa NORDIC TANGANYIKA PROJECT.
Headmaster wetu BERGSON!!!!!! Enzi za Prof. Karim Hirji[ mathematician]; marehemu C. Apson [ DI], Hussein Mtoro, Prof. Bonni Mwaiseje, Grant Mwaipaja ,Brian Sagatwa.etc
I think it was one of best schools . . .
Asubuhi Chai ya Maziwa na Mikate ya Siagi
Saa Nne - Chai na Mikate/Siagi
Mchana - Wali/Ugali Kuku
Chai ya Saa Kumi
Jioni - Wali Nyama
Baada ya Class - Michezo . .. I remember Mwl Henry Ramadhani aliyekuwa Mkurugenzi wa Michezo alikuwa Kocha wa Basket Ball.
Usiku Preparations
Kila Alhamisi - Mashindano ya Usafi wa Nyumba nk.
Kweli Elimu ya Sasa ni tofauti sana na enzi zile
ni KAKUNI = KAZI + KUSOMA + NIDHAMUMkuu Ndamwe, umenikumbusha mbali sana na mzee wetu KAKUNI!! mimi nimepitia Kibaha '81 to '83 A level. tulikuwa na marehemu Kazibure, mama schade (RIP) huyu mama alikuwa mjerumani na alikuwa 'anatoka' na wanafunzi, Lwebandiza na gitaa lake... kweli shule ilikuwa murua sana! mzee KAKANI alikuwa mkali kweli kweli na alisimamia shule ipasavyo! duh, it is hard to believe but it is now 26 years since i left kibaha na sijawahi kupita tena kuona shule iko vipi sasa.
WENGI NI WATU WAZITO SANA nchi hii, nawakumbuka kina Arthur Lyatuu, kina Pius Macha, ....kina Jacob Mtui alikimbizana sana na kile kichwa cha kihindi Salim Ghulam japo Salim alikuwa anawasha taa mbaya sanaNakumbuka wakati tunajiandaa na mitihani mei 1992,usiku mmoja vijana wa form 3 walimuopoa demu mmoja Pich ya ndege wakaja nae Scandia ili wamshughulikie.Kwa bahati mbaya form 6 wakawaona palepale wakamchukua yule demu na kumwingiza chumba namba 4 ambacho alikuwa analala Mwenyekiti wa bweni Mh....Basi yule demu alifanyiziwa usiku kucha na vijana wa form 6 wakiongozwa na yule mwenyekiti wa bweni,yaani ilikuwa huruma mno kwani sauti za kelele toka kwa yule msichana zilitawala eneo lote la Scandia.Cha kuhudhunisha zaidi wale vijana waliokuja na yule demu ilibidi wapange foleni ili kuweza kupata bahati ya kumfikia yule msichana.Na kwavile form 6 walikuwa wengi wale vijana hawakufanikiwa kumpata yule demu waliomleta ili kuvunja amri ya 6.Nawakumbuka wengi kama Kamugisha,Peter Ulanga,Contractor,Adamu Madusi,Bigambo Andrew,Makanacky,Bryceson Abihudi,Benny White,Ndorerah(marehemu),Fransic Sekwao,Stone,Chesinode Kulangwa,Mammy,Mark Msaki,Masuhuko Nkuba,Magayane Machibya,Makanzo Laurent,Dr.Mattias Daud,Spear,Ambokile Mwaisaka,Peter Omar,Anganile Kaisi,Saad Hussen,Rehema,Mwanaidi Shaaban,Bosco Mtiga n.k Jamani oridha ni ndefu sana,mmenikumbusha mbaaaaaaaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaanaaaaa.Mwalimu Abdallah Abdallah yupo wapi?