imefika wapi kwa channel ipi?
Maana ya isidingo ni maisha ya kila siku katika miji iliyo na migodi.
Sijui na merereni pako vile au kakola?
Sasa unataka maisha ya kila siku yaishe?
ISIDINGO imeshafika mwisho, ila kwa ITV itaisha miezi ya mbeleni mwaka huu kwa saabu wapo nyuma kidogo... Kwa tuliokuwa tume-subscribe kwa channel yao kule YouTube tumesha-unsubscribe😔😔😔😔Tutaimiss HORIZON DEEP.