Wale wa "eckernforde 2juane hapa"

Raphael9

Senior Member
Apr 24, 2012
145
44
Japo ckukiomba hiki chuo ila cna budi kusema asante " tcu " sasa 2juane wenzangu wa " TANGA "
 
mkuu! kwa kweli sijawa na details zake kwa saaana! ila naamini kil mahala pana raha na taabu zake hasa vyuo vyetu vya tz hapa. ila kwa life style ya tanga ni nzuri hakuna shida shida za vitu muhimu kama maji,umeme,n.k! elimu ni ngumu, so jitihada yako ndo itakayo kutoa na kukupeleka pazuri
 
Chuo kipo eneo linaitwa kange nje kidogo ya mji,karibuni maeneo ya kujirusha kama habazclub,club la-casa chika ,bafanapub,
 
2nashukuru sana mkubwa kidogo napata hata picha maana hata tanga cjawah fka ndo mara yangu ya kwanza
 
Chuo kipo eneo linaitwa kange nje kidogo ya mji,karibuni maeneo ya kujirusha kama habazclub,club la-casa chika ,bafanapub,
acha kupoteza wenzio ww, hata semista moja huna ubawaza kujirusha?? unataka ujirushe kwa pesa ya mkopo ya mawazo, ile ni pesa yako ionee huruma,wenzako hiyo hiyo pesa wameitumia kujibana na sasa wanaendesha bizness zao, wewe unawajaza wenzako ujinga, tena chuo chenewe cha kata,walim wa kubabaisha, majengo na facilities nyingine poor!! ungechaguliwa UDSM si ungekuwa unakesha pale UDASA???elimika, acha utoto umekuwa wewe.sory kwa kukupa ukweli mana wengine ukiwaambia ukweli wanasema WAMETUKANWA, ila kaz kwako, sisi tulishagonga mawe yetu ya kutosha, tupo makazini now, so tukiona vijana mnashabikia shangwe zisizo na msingi tunawaonea huruma.komaa piga shule, GPA isiuwe ya kuning'inia then kaongeze mawe yanayoendelea
 
Back
Top Bottom