WALE WA DIV 3 FORM 6 2016

swadakta
injinia,, upo sahihi kabisa yani
lazima uwepo mfumu rasmi wa kubadilisha vigezo vya ufaulu
 
Kichwa chako ni kama cha panzi ndg yangu!!, unazijua alama za B za BRN? kwanini wanasema elimu ilivurugwa sana?.....B ya BRN toka kwa JK ni tofauti na B za vipindi vingine vilivyopita hata kama alama zitakuwa 80 sawa kwa zote. Science ni priority inakubidi utulie kimya kuna mahali hujaelewa alafu unajifanya kurekebisha waalimu wako
 
Itakua alsoma H kunanii uyooo....
Wanajulkana tuu ataa kwa maandshi....
 

mtu mwenye maarifa kichwani hakurupuki kuandika kejeli.. b ya elimu ya kikwete ni E+ kwa MH magufuli ya miaka hii huna data, huna uelewa
 
Hivi anatengeneza nini kweli? Eti nasikia anaboresha elimu? Elimu haiboreshwi kwa kuchagua wachache bali kwa kuwa elimu bora walio wengi.
 
mtu mwenye maarifa kichwani hakurupuki kuandika kejeli.. b ya elimu ya kikwete ni E+ kwa MH magufuli ya miaka hii huna data, huna uelewa
Jamaa vipi wewe... Hivi tukisema zamani tunamaanisha kipindi cha Jk?? Ebi acha kuwa subjective.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…