Mwenye kisu mpishe apite mkuu wangu.....aiseeee inauma sana
Mbona hamuelewi jaman kama huna vigezo kaa pemben.naomba kuuliza, je serikali kusema kwamba hawa vijana waliopata division 3 kwa masomo ya science yaani pcb, pcm, pgm kwa kukosa D mbili je, utaratibu gani umewekwa ukizingatia vyuo vya diploma vimekaribia kujaa.. watabaki majumbani mwaka mzima kweli?
pili, grade zilizo tumiwa zimepandishwa juu D ya sasa ni b ya mwaka jana, huku ndo kuboresha elimu kweli?
tatu, nilisikia profesa ndalichako akisema kwamba mitihani ikivuja atajiuzulu.. na tetesi zinasema mitihani ilivuja , je atajiuzulu?
nne, kwanini serikali inaleta sheria mpya mwishoni mwa mafunzo kila mara? kwani hii ya D mbili ingesemwa tangu watahiniwa wanaanza form 5 ingeshindikana nn?
tano, kwa wanafunzi wa diploma kushtukizwa GPA ya kwenda degree iwe 3.5 je ni sawa kisheria ? ukizingatia wengine wapo mwaka wa mwisho..
asanteni.
Mbona hamuelewi jaman kama huna vigezo kaa pemben.
Au mnataka kuishawish government iwapitishe alaf na wa art waliopata div. 3 .
Mbona wao hawalala mik
ndo ivo yaniInauma sanaa ndg ukizingatia watakao teseka ni watoto wa maskin
naomba kuuliza, je serikali kusema kwamba hawa vijana waliopata division 3 kwa masomo ya science yaani pcb, pcm, pgm kwa kukosa D mbili je, utaratibu gani umewekwa ukizingatia vyuo vya diploma vimekaribia kujaa.. watabaki majumbani mwaka mzima kweli?
pili, grade zilizo tumiwa zimepandishwa juu D ya sasa ni b ya mwaka jana, huku ndo kuboresha elimu kweli?
tatu, nilisikia profesa ndalichako akisema kwamba mitihani ikivuja atajiuzulu.. na tetesi zinasema mitihani ilivuja , je atajiuzulu?
nne, kwanini serikali inaleta sheria mpya mwishoni mwa mafunzo kila mara? kwani hii ya D mbili ingesemwa tangu watahiniwa wanaanza form 5 ingeshindikana nn?
tano, kwa wanafunzi wa diploma kushtukizwa GPA ya kwenda degree iwe 3.5 je ni sawa kisheria ? ukizingatia wengine wapo mwaka wa mwisho..
asanteni.
Tuwe waangalifu kwenye hili wote wa arts na science wameathirika. Kwani wa arts waliopata div three ambao hawajafikisha vigezo vya TCU wanakwenda wapi? Sio kwamba wao pia wanahangaika?Mbona hamuelewi jaman kama huna vigezo kaa pemben.
Au mnataka kuishawish government iwapitishe alaf na wa art waliopata div. 3 .
Mbona wao hawalala mik
Ukisikia jambo uwe unauhakika na chanzo ulichopata habari, usije ukaleta maada zingine ambazo pengine ulikatiza mtaa ukakuta watu wapo faragha wanatamka watakavyo japokuwa wao hawajitambui; then unakuja mbio mbio kuripoti!!!. Usishindane na aliyeshika mpini, Prof anatengeneza njia ambayo ilikuwa ikitumika hapo awali. Tutazoea tu, huku mwanzoni tutashangaa sana, tutasema mengi, nk lakini itazoeleka na kupendwa hapo baadae!!!. Pole sana kwa yatokeayo Tanzania msimu huu; wahanga wengi na watakuwa wengi, baadae hawatakuwepo wahanga
Kuambiwa mapema wala sio tatizo, kaanza matengenezo mapema hawezi kufurahisha kila mtu; its impossible! elewa hapo. Waliofanya vizuri nadhani hawajadhulika...................Ni kweli Mimi nimevuka stage hiyo...cheti changu cha form IV na VI vina sahihi ya Prof Ndalichako..........Lakini nimetoa kauli sio kwamba kwakuwa nimevuka hapana! Huwezi furahisha kila mtu, unaangalia upande wenye faida sana kuliko ule mwingineWASEMA HIVO KWAKUA USHAIVUKA HII STAGE,, KINACHO UMIZA NI KWANN HAWAKUAMBIWA MAPEMA WAJIANDAE KISAIKOLOJIA?
MIMI NI MWAJIRIWA NA KITAALUMA NI ELECTRICAL ENGINEER NINA DEGREE PIA NIMESAIRIWA NA BODI YA MAINJIA TANZANIAMbona hamuelewi jaman kama huna vigezo kaa pemben.
Au mnataka kuishawish government iwapitishe alaf na wa art waliopata div. 3 .
Mbona wao hawalala mik
Kuambiwa mapema wala sio tatizo, kaanza matengenezo mapema hawezi kufurahisha kila mtu; its impossible! elewa hapo. Waliofanya vizuri nadhani hawajadhulika...................Ni kweli Mimi nimevuka stage hiyo...cheti changu cha form IV na VI vina sahihi ya Prof Ndalichako..........Lakini nimetoa kauli sio kwamba kwakuwa nimevuka hapana! Huwezi furahisha kila mtu, unaangalia upande wenye faida sana kuliko ule mwingine