Wale tunaowaficha wake zetu mipango yetu tukutane hapa

Nilimshirikisha kua nimenunua kiwanja kukiona hataki tujenge hapo so nikaamua kujenga baada ya kujenga nikampeleka akashangaa pamechangamka na kuna kila huduma akanipongeza je ningekubali tusijenge hapo familia imeongezeka ingekua je?
Mkeo naye vipi anatuangusha sana, mie nikiambiwa mbona nitachangamka sana, bila hata kwenda kuangalia duu! Lakini Atakuwa kajifunza, hongera zako.
 
Back
Top Bottom