Wale tuliosoma saana PCMy huwa tunaagana namna hii!

Gody

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,246
411
Nakutakia (3g+27)=-3t naona unashangaa nimekutakia nini embu soma vizuri uone
tunavyokokotoa!

NJIA; 3G+27=-3t, Tuna gawanya kwa 3 kila upande:
3G/3+27/3=-3t/3
=G+9+t
JUMLA=G9t
Hivyo Ndivyo TUnavyoagana Wasomi tulobobea KtK Hesabu! Sio Unatuambia G9t Halafu Hautuonyeshi Njia namna gani umeipata!!
 
we msomi nini maana ya G9t?
 
Back
Top Bottom